Amos Makalla azidi kuiimarika jimboni
Na Ramadhan Libenanga, Mvomero
MBUNGE wa Mvomero, Amos Makalla, amezidi kuimarika katika siasa jimboni kwake baada ya kuvunja ngome ya Ukawa kwa wanachama 53 wa vyama vya CUF na Chadema kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Tukio hilo lilitokea juzi katika mkutabno wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Madizini, ambako alisema yeye ni mbunge wa vitendo na si wa maneno kama walivyo watu wengine.
Makalla ambaye pia Naibu Waziri wa Maji, alisema katika kipindi alichopewa ridhaa na wapiga kura...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMBUNGE WA MVOMERO, MH. AMOS MAKALLA ATUMIA BODABODA KUFANYA ZIARA JIMBONI KWAKE
10 years ago
MichuziMbunge wa Mvomero,Mh. Amos Makalla atumia bodaboda kufanya ziara jimboni kwake
Mbunge huyo ambaye amesifika na kuweka rekodi ya kutembelea vijiji vyote 130 vya Jimbo lake hilo,aliona umuhimu kuwafikia wananchi na wana CCM wa Ifumbo kwa njia ya pikipiki ili ajionee changamoto na kuchukua...
11 years ago
GPLAMOS MAKALLA AFIWA NA BABAYAKE MZAZI
11 years ago
MichuziMH. AMOS MAKALLA AFIWA NA BABAYAKE MZAZI
Naibu Waziri wa Maji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla anasikitika kutangaza kifo cha babake mzazi, Gabriel Makalla kilichotokea usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa waziri Palm Residence Ocean Road namba 18E Dar es Salaam, Mwili utaagwa Jumapili katika Kanisa la Azania Front saa 6 mchana.
Baada ya hapo mwili utasafirishwa kwenda Mvomero kwa mazishi yatakayofanyika Jumatatu saa 7...
11 years ago
MichuziMhe Amos Makalla ahudhuria mafunzo ya uongozi Marekani
Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Mvomero Mhe. Amos Makalla akiwa na baadhi ya washiriki aw mafunzo ya uongozi chuo cha uongozi cha Leadership institute, Arlington,VirginiaMhe Makalla ashiriki mafunzo ya uongozi na Chou cha leadership Institute, Arlington,Virginia
11 years ago
Dewji Blog02 Aug
Waziri Amos Makalla afiwa na Baba yake mzazi
Naibu Waziri wa Maji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla anasikitika kutangaza kifo cha babake mzazi, Gabriel Makalla kilichotokea usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa waziri Palm Residence Ocean Road namba 18E Dar es Salaam, Mwili utaagwa Jumapili katika Kanisa la Azania Front saa 6 mchana.
Baada ya hapo mwili utasafirishwa kwenda Mvomero kwa mazishi yatakayofanyika Jumatatu saa 7 mchana.
Mungu...
9 years ago
MichuziMhe. Amos Makalla AAGA RASMI WIZARA YA MAJI
9 years ago
MichuziZIARA YA NAIBU WAZIRI MAJI AMOS MAKALLA MJINI GEITA
Kwa mujibu wa tathmini ya kazi iliyofanyika mradi huu unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi august mwaka huu na naibu waziri wa maji ameagiza...
11 years ago
MichuziZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA MKOANI MOROGORO
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ( wa kwanza kulia ) akisikiliza jambo kutoka kwa Mtaalamu wa mradi wa Millennium Challenge Account (MCT), Sean...