Andy Murry tayari kwa Davis Cup.
Timu ya Taifa ya Uingereza ya Tenis, imewasili nchini Ubegiji kwa mchezo wa fainali ya Davis Cup utakaopigwa ijumaa nchini humo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV01 Dec
DAVIS CUP Andy Murray ajivunia ubingwa.
Kwa upande wa mchezo wa Tennis ,mchezaji Andy Mare ameweka bayana furaha yake ya kuiwezesha England kutwaa kombe la Davis Cup baada ya miaka 79 kulisotea bila mafanikio.
Mare aliyefunga pointi 11 katika mchezo huo unaokutanisha bnaadhi ya Mataifa ya Ulaya amekiri ubingwa huo haukuja kirahisi hasa kutokana na upinzani waliokutana nao na kuweza kusimama imara.
Amesema katika mchezo wa fainali kabla ya kuwasambaratisha Ubelgiji kwa seti 3-1 walilazimika kutumia uzoefu wao katika michuano...
9 years ago
Bongo530 Nov
Andy Murray awa bingwa wa Davis Cup

Mcheza tennis bora kutoka Uingereza, Andy Murray amechukua ubingwa wa michuano ya Davis Cup ya mchezaji mmoja mmoja.
Timu ya Uingereza imetwaa taji hilo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1936 baada ya Murray kumshinda Mbelgiji David Goffin
Murray alimshinda mpinzani wake kwa jumla ya seti 6-3 7-5 6-3 na kumfanya Goffin kupoteza kwa jumla ya 3-1. Nyota huyo amejiongezea historia nzuri baada ya kuwa ametwaa mataji ya michuano ya Wimbledon, michuano ya wazi ya US Open na ile ya michezo ya...
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Andy Murry apata jiko
10 years ago
BBCSwahili20 Mar
Andy Murry kuuaga ukapera
10 years ago
BBCSwahili14 May
Andy Murry azidi kung'ara Italian Open
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Murray bingwa Davis Cup
9 years ago
TheCitizen30 Nov
Britain closer to Davis Cup glory
9 years ago
Mtanzania01 Dec
Murray achukua ubingwa wa Davis Cup
LONDON, ENGLAND
NYOTA wa mchezo wa tenisi nchini Uingereza, Andy Murray, amefanikiwa kulipa taifa lake ubingwa wa michuano ya Davis Cup katika mchezaji mmoja mmoja.
Timu ya Uingereza imetwaa taji hilo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1936, huku Murray akifanikiwa kumshinda mpinzani wake raia wa Ubelgiji, David Goffin.
Murray alimshinda mapinzani huyo kwa jumla ya seti 6-3, 7-5, 6-3 na kumfanya Goffin kupoteza kwa jumla ya seti 3-1.
Murray amejiongezea historia kubwa baada ya kutwaa mataji ya...
10 years ago
MichuziDAVIS MOSHA AZIDI KUWAKUNA WANANCHI WA MOSHI KWA SERA
Ikiwa zimesalia Takribani siku ishirini na tisa kuweza kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (ccm) Jimbo la Moshi Mjini Ndugu Davis Elisa Mosha amezidi kumtesa Mpinzani wake kutoka Kambi Pinzani ya Ukawa anayesimama kwa Tiketi ya Chadema Ndugu. Jafary Michael. Hayo yamedhihirika leo katika Mkutano wa Hadhara wa Mh. Davis Mosha katika...