Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Murray bingwa Davis Cup

Mcheza tenesi bora wa Uingereza Andy Murray amelipa taifa lake ubingwa wa michuano ya tenesi ya Davis Cup

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Andy Murray awa bingwa wa Davis Cup

2EE7DD0E00000578-0-image-a-11_1448830120125

Mcheza tennis bora kutoka Uingereza, Andy Murray amechukua ubingwa wa michuano ya Davis Cup ya mchezaji mmoja mmoja.

2EE8263200000578-0-image-a-8_1448830099611

Timu ya Uingereza imetwaa taji hilo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1936 baada ya Murray kumshinda Mbelgiji David Goffin

2EE83FAF00000578-0-image-a-10_1448830113261

Murray alimshinda mpinzani wake kwa jumla ya seti 6-3 7-5 6-3 na kumfanya Goffin kupoteza kwa jumla ya 3-1. Nyota huyo amejiongezea historia nzuri baada ya kuwa ametwaa mataji ya michuano ya Wimbledon, michuano ya wazi ya US Open na ile ya michezo ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Murray achukua ubingwa wa Davis Cup

76_muz_1539494aLONDON, ENGLAND

NYOTA wa mchezo wa tenisi nchini Uingereza, Andy Murray, amefanikiwa kulipa taifa lake ubingwa wa michuano ya Davis Cup katika mchezaji mmoja mmoja.

Timu ya Uingereza imetwaa taji hilo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1936, huku Murray akifanikiwa kumshinda mpinzani wake raia wa Ubelgiji, David Goffin.

Murray alimshinda mapinzani huyo kwa jumla ya seti 6-3, 7-5, 6-3 na kumfanya Goffin kupoteza kwa jumla ya seti 3-1.

Murray amejiongezea historia kubwa baada ya kutwaa mataji ya...

 

9 years ago

StarTV

DAVIS CUP Andy Murray ajivunia ubingwa.

Kwa upande wa mchezo wa Tennis ,mchezaji Andy Mare ameweka bayana furaha yake ya kuiwezesha England kutwaa kombe la Davis Cup baada ya miaka 79 kulisotea bila mafanikio.

 

Mare aliyefunga pointi 11 katika mchezo huo unaokutanisha bnaadhi ya Mataifa ya Ulaya amekiri ubingwa huo haukuja kirahisi hasa kutokana na upinzani waliokutana nao na kuweza kusimama imara.

 

Amesema katika mchezo wa fainali kabla ya kuwasambaratisha Ubelgiji kwa seti 3-1 walilazimika kutumia uzoefu wao katika michuano...

 

9 years ago

TheCitizen

Britain closer to Davis Cup glory

Andy and Jamie Murray took Britain to the cusp of Davis Cup glory in Ghent on Saturday, defeating David Goffin and Steve Darcis of Belgium 6-4, 4-6, 6-3, 6-2 in a crucial doubles match to grab a 2-1 lead with just the reverse singles to follow.

 

9 years ago

BBCSwahili

Andy Murry tayari kwa Davis Cup.

Timu ya Taifa ya Uingereza ya Tenis, imewasili nchini Ubegiji kwa mchezo wa fainali ya Davis Cup utakaopigwa ijumaa nchini humo.

 

11 years ago

GPL

KCC BINGWA MAPINDUZI CUP

Wachezaji wa KCC, viongozi na mashabiki wao wakishangilia ushindi baada ya kutwaa kombe la Mapinduzi leo. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein naye alikuwepo uwanjani kushuhudia mtanange huo kati ya Simba na KCC.…

 

10 years ago

Raia Tanzania

Azam bingwa Kagame Cup

TIMU ya soka Azam FC jana imeandika historia mpya kwenye soka la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) baada ya kutwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Kagame Cup kwa kuifunga Gor Mahia ya Kenya mabao  2-0 katika mechi ya fainali iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Mabao ya Azam yaliwekwa kimiani na washambuliaji John Bocco 'Adebayor' dakika ya 16 na Kipre Tchetche dakika ya 65.

Bao la Bocco lilipatikana baada ya Tchetche kuwakimbiza mabeki wa Gor Mahia ambao walishindwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bingwa Spanest Cup kutinga Ruaha

BINGWA wa mashindano ya soka ya Kupinga Ujangili ‘Spanest Cup’, yaliyofikia hatua ya nusu fainali yakishindanisha timu zinazoizunguka hifadhi ya taifa ya Ruaha, licha ya kupatiwa kombe, pia atatembelea hifadhi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

El Merreikh bingwa Kagame Cup 2014

TIMU ya El Merreikh ya Sudan, jana ilitwaa ubingwa wa Kombe la Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati baada ya kuwafunga maafande wa APR ya Rwanda bao 1-0 katika mechi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani