DAVIS CUP Andy Murray ajivunia ubingwa.
Kwa upande wa mchezo wa Tennis ,mchezaji Andy Mare ameweka bayana furaha yake ya kuiwezesha England kutwaa kombe la Davis Cup baada ya miaka 79 kulisotea bila mafanikio.
Mare aliyefunga pointi 11 katika mchezo huo unaokutanisha bnaadhi ya Mataifa ya Ulaya amekiri ubingwa huo haukuja kirahisi hasa kutokana na upinzani waliokutana nao na kuweza kusimama imara.
Amesema katika mchezo wa fainali kabla ya kuwasambaratisha Ubelgiji kwa seti 3-1 walilazimika kutumia uzoefu wao katika michuano...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Nov
Andy Murray awa bingwa wa Davis Cup
![2EE7DD0E00000578-0-image-a-11_1448830120125](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2EE7DD0E00000578-0-image-a-11_1448830120125-300x194.jpg)
Mcheza tennis bora kutoka Uingereza, Andy Murray amechukua ubingwa wa michuano ya Davis Cup ya mchezaji mmoja mmoja.
Timu ya Uingereza imetwaa taji hilo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1936 baada ya Murray kumshinda Mbelgiji David Goffin
Murray alimshinda mpinzani wake kwa jumla ya seti 6-3 7-5 6-3 na kumfanya Goffin kupoteza kwa jumla ya 3-1. Nyota huyo amejiongezea historia nzuri baada ya kuwa ametwaa mataji ya michuano ya Wimbledon, michuano ya wazi ya US Open na ile ya michezo ya...
9 years ago
Mtanzania01 Dec
Murray achukua ubingwa wa Davis Cup
LONDON, ENGLAND
NYOTA wa mchezo wa tenisi nchini Uingereza, Andy Murray, amefanikiwa kulipa taifa lake ubingwa wa michuano ya Davis Cup katika mchezaji mmoja mmoja.
Timu ya Uingereza imetwaa taji hilo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1936, huku Murray akifanikiwa kumshinda mpinzani wake raia wa Ubelgiji, David Goffin.
Murray alimshinda mapinzani huyo kwa jumla ya seti 6-3, 7-5, 6-3 na kumfanya Goffin kupoteza kwa jumla ya seti 3-1.
Murray amejiongezea historia kubwa baada ya kutwaa mataji ya...
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Murray bingwa Davis Cup
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Andy Murry tayari kwa Davis Cup.
9 years ago
BBCSwahili08 Sep
Andy Murray nje US Open
9 years ago
BBCSwahili17 Aug
Andy Murray atwaa kikombe
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BIHCTCFFxEVLOMU5TIZzSOxVjuZT7IovpX4KiY*uLEdxS-zD6BTVdrcg1yROp2nYngIGpNVe-Tfjz3I*fgy*dmE-SC91fsAq/NovakDjokovic.jpg)
ANDY MURRAY AONDOLEWA US OPEN
10 years ago
BBCSwahili26 Jan
Andy Murray ambwaga Grigor Dimitrov
9 years ago
BBCSwahili21 Dec
Andy Murray mshindi wa BBC tennis