Angalia Mbebwe za kucheza Kwaito zilivyo muumbua huyu dada

Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Vijimambo
ANGALIA PICHA DADA WA DIAMOND PLATNUMZ AOLEWA NA PETIT MAN




11 years ago
Vijimambo29 Sep
11 years ago
GPL19 Dec
10 years ago
Vijimambo
9 years ago
Michuzi
MSAADA WA MATIBABU UNAHIDAJIKA KWA DADA HUYU

Napenda kutumia fursa hii kukushirikisha habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Mwambepo mkazi wa Sinde jijini Mbeya. Dada huyu mwenye umri wa 27 anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4.
Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambayo hata hivyo haikusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya raufaa mkoani Mbeya ambako alikaa kwa miezi mitatu bila kupata...
9 years ago
Dewji Blog17 Nov
Msaada wa wasamaria wema wa matibabu unahitajika kwa dada huyu


Ndugu Wasamaria wema
Napenda kutumia fursa hii kukushirikisha habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Mwambepo (pichani akiwa na mwanaye, na migu yake iliyopooza) mkaazi wa Sinde jijini Mbeya. Dada huyu mwenye umri wa miaka 27 anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4.
10 years ago
Bongo Movies20 Mar
Filamu ya The Shock: Huyu Dada Alieigiza Kama Mchepuko wa Kanumba, Mh si Mchezo!
Jana nilikua naangalia hii filamu 'The Shock' huyu dada aliegiza kama demu wa pembeni wa Kanumba si mchezo, 'ameumbwa na akaumbika'. Tena nahisi Mola alimuumba asubuhi na mapemaaaa”. Aisee ni mzuri tena zaidi ya mzuri yaani bomba sana
Kanumba sijui alikua anawatoa wapi hawa warembo maana huyu hata kama ni mchepuko wako nawe una mke unakua unafanya matumizi mazuri ya pesa, kizungu wanaita value for money hapo ipo.
Inanikumbusha Bill Jerfeson Clinton, Rais wa USA alipokumbwa na ile kashfa...
11 years ago
Bongo Movies15 Jul
Daaah! Inasikitisha. Soma hi story huyu dada aliyekutana na mwigizaji Shamsa Ford leo.
Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja wa kijamii leo hii, mwanadada mwigizaji Shamsa Ford amepost ujumbe huu kwa wale wadada wote wanopenda kutumia mikorogo kama njia ya kuwafanya waonekane warembo Zaidi. Hichi ndicho alichokisema.
“Leo nilikutana na mdada ambaye alikuwa ananiomba sana kukutana na mm.nilipokutana naye alikuwa amevaa hijabu kubwa sana yaani yalibaki macho tu.nikajua mfungo wa ramadhani.nilishangazwa sana baada tu ya kuketi akaanza kulia.baada ya kunitolea hijabu yake nilitamani...