Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Filamu ya The Shock: Huyu Dada Alieigiza Kama Mchepuko wa Kanumba, Mh si Mchezo!

Jana nilikua naangalia hii filamu 'The Shock' huyu dada aliegiza kama demu wa pembeni wa Kanumba si mchezo, 'ameumbwa na akaumbika'. Tena nahisi Mola alimuumba asubuhi na mapemaaaa”. Aisee ni mzuri tena zaidi ya mzuri yaani bomba sana

Kanumba sijui alikua anawatoa wapi hawa warembo maana huyu hata kama ni mchepuko wako nawe una mke unakua unafanya matumizi mazuri ya pesa, kizungu wanaita value for money hapo ipo.

Inanikumbusha Bill Jerfeson Clinton, Rais wa USA alipokumbwa na ile kashfa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

BATULI: Kanumba kama kaacha laana kwenye filamu za bongo

BATULI 2NA FESTO POLEA

APRILI 7 mwaka 2012 tasnia ya filamu ilipatwa na majonzi makubwa kutokana na kifo cha aliyekuwa mwigizaji nguli, Steven Kanumba, ambaye alikuwa kipenzi cha wengi ndani na nje ya nchi.
Licha ya wengi kutokuamini kwa muda huo, baada ya muda ikagundulika kweli amefariki, hivyo majonzi zaidi yakarindima, huku kila mtu akisema lake kuhusu kifo hicho.
Baada ya mazishi yake mashabiki walijipa matumaini kwamba tasnia hiyo licha ya kumpoteza mwigizaji huyo ingeendelea vema kutokana na...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

Mama Kanumba asikitishwa na wasanii pamoja na wadau wa filamu kususia uzinduzi wa kitabu cha Kanumba

Flora Mtegoa, Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba amesikitishwa na wasanii wa filamu pamoja wa wadau wa filamu kushindwa kwenda kumuunga mkono katika shughuli ya uzinduzi wa kitabu cha Kanumba ‘The Great Fallen Tree’, uliofanyika ndani ya ukumbi wa Landmark Hotel, Dar-es-salaam January 10. Akizungumza kwa majonzi kwenye Take One Show ya Clouds Tv, Mama […]

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Michuzi

MSAADA WA MATIBABU UNAHIDAJIKA KWA DADA HUYU

Habari kaka,
Napenda kutumia fursa hii kukushirikisha habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Mwambepo mkazi wa Sinde jijini Mbeya. Dada huyu mwenye umri wa 27 anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4.
Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambayo hata hivyo haikusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya raufaa mkoani Mbeya ambako alikaa kwa miezi mitatu bila kupata...

 

9 years ago

Dewji Blog

Msaada wa wasamaria wema wa matibabu unahitajika kwa dada huyu

Ndugu Wasamaria wema

Napenda kutumia fursa hii kukushirikisha habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Mwambepo (pichani akiwa na mwanaye, na migu yake iliyopooza) mkaazi wa Sinde jijini Mbeya. Dada huyu mwenye umri wa miaka 27 anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4. Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambayo haikusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya rufaa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mapacha Wacharuka na Filamu ya Dada

WAIGIZAJI pacha, Regina Mroni na Christina Mroni, wameandaa bonge la muvi mpya iitwayo Dada.
Hata hivyo, ndani ya muvi hiyo ni Regina pekee ndiye aliyeigiza huku Christina akihusika kwenye upande wa utayarishaji, uongozaji na uandishi wa skpriti.

Wakiongea na FilamuCentral kutokea ndani ya ofisi za kampuni ya Tansquare Film House iliyoandaa sinema hiyo, mapacha hao wameeleza kuwa wamewasilisha ujumbe mzito ndani ya filamu hiyo.

Walisema kuwa filamu hiyo inamzungumzia msichana wa kazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani