Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DADA AWAKUTANISHA MPENZI WAKE NA MCHEPUKO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Filamu ya The Shock: Huyu Dada Alieigiza Kama Mchepuko wa Kanumba, Mh si Mchezo!

Jana nilikua naangalia hii filamu 'The Shock' huyu dada aliegiza kama demu wa pembeni wa Kanumba si mchezo, 'ameumbwa na akaumbika'. Tena nahisi Mola alimuumba asubuhi na mapemaaaa”. Aisee ni mzuri tena zaidi ya mzuri yaani bomba sana

Kanumba sijui alikua anawatoa wapi hawa warembo maana huyu hata kama ni mchepuko wako nawe una mke unakua unafanya matumizi mazuri ya pesa, kizungu wanaita value for money hapo ipo.

Inanikumbusha Bill Jerfeson Clinton, Rais wa USA alipokumbwa na ile kashfa...

 

11 years ago

Michuzi

SUPER D AWAKUTANISHA MABONDIA WAKE NA WADAU KATIKA FUTARI

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akifuturu pamoja na mabondia na wadau wa mchezo huo wa pili kushoto ni Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' Birali Ngonyani, Shomari Mirundi, Raymond Mbwago wakati wa futari iliyoandaliwa na kucha huyo nyumbani kwake Rozana Dar es salaam Baadhi ya waumini wa dini ya kislam wakiomba duwa baada ya kufuturu katika futari iliyoandaliwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ester Kiama: Nammeneji Tu Dude Wala Si Mchepuko Wake

Baada minong’ono kuzagaa kila kona kuwa kuna uhusiano wa kimapenzi kati ya mwigizaji wa kike Ester Kiama na muongozaji na mwigizaji Kulwa Kikumba, mwanadada huyo amekanusha na kudai kuwa yeye ni meneja tu wa msanii huyo na anamsimamia kurudisha Bongo Dar es salaam.

Kweli nipo karibu sana na Dude kikazi na si kimapenzi kama wengine wanavyofikiria, nammeneji tu katika uwezeshaji wa kurudisha kipindi chake cha Bongo Dar es Salaam na masuala ya filamu, tumerekodi sinema yangu ya Ngoma...

 

11 years ago

Bongo Movies

SHILOLE akataliwa ukweni kisa umri wake kuwa mkubwa kuliko mpenzi wake.


Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.

Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.

“Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na...

 

10 years ago

Mtanzania

Kabula atulizwa na mpenzi wake

jini kabulaNA RHOBI CHACHA

BAADA ya kuachana na mwanamuziki Ruta Bushoke ‘Bushoke’, mwigizaji wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ameibuka na kudai kwamba mpenzi wake mpya hataki aende kwenye kumbi za starehe.

Kabula bila kumtaja mpenzi wake huyo mpya, alidai kwamba amekatazwa na hatakiwi kuzungumzia habari za kwenda kwenye kumbi za starehe.

“Nimeamua kupunguza kwenda kwenye kumbi za starehe kwa sababu niko bize na mpenzi wangu na pia kwa sasa naandika filamu na nyimbo kwa ajili ya mradi wangu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Nisha na Mpenzi Wake Wamwagana

 

Mwigizaji wa kike  anaeonyesha uwezo mkubwa  kwenye tansia ya  filamu hapa Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’  na mpenzi wake aliyejulikana kwa jina la Farhad wanadaiwa kumwagana baada ya kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu.

Chanzo makini cha GPL,kilisema kwamba Nisha na mpenzi wake huyo ambaye walikuwa na mipango ya kuoana mwaka jana lakini ndoa ikayeyuka waliachana kutokana na sababu zisizojulikana na sasa kila mmoja  yupo bize na maisha yake.

Baada ya kuzinyaka habari hizo paparazi...

 

10 years ago

GPL

NISHA MPENZI WAKE WAMWAGANA

Na Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’  na mpenzi wake aliyejulikana kwa jina la Farhad wanadaiwa kumwagana baada ya kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu.Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba Nisha na mpenzi wake huyo ambaye walikuwa na mipango ya kuoana mwaka jana lakini ndoa ikayeyuka waliachana kutokana na sababu zisizojulikana na sasa kila mmoja  yupo bize na maisha yake....

 

11 years ago

GPL

MARIO BALOTELLI AJIACHIA NA MPENZI WAKE

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Italia na Klabu ya AC Milan, Mario Balotelli akiogelea na mpenzi wake Fanny Neguesha mjini Miami Mario Balotelli akiogelea na mpenzi wake Fanny Neguesha huku wakifurahia jambo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani