SUPER D AWAKUTANISHA MABONDIA WAKE NA WADAU KATIKA FUTARI
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akifuturu pamoja na mabondia na wadau wa mchezo huo wa pili kushoto ni Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' Birali Ngonyani, Shomari Mirundi, Raymond Mbwago wakati wa futari iliyoandaliwa na kucha huyo nyumbani kwake Rozana Dar es salaam
Baadhi ya waumini wa dini ya kislam wakiomba duwa baada ya kufuturu katika futari iliyoandaliwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo01 Nov
MABONDIA WAZIPIGA MAZOEZINI WAKISIMAMIWA NA KOCHA SUPER D
10 years ago
GPL26 Feb
10 years ago
VijimamboSUPER D BOXING CLUB YATEUWA MABONDIA WATATU KUPIGANA MEI 23 PANANDI PANANDI
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-NxAN4TbIITk/U8aNzhDx-aI/AAAAAAAF2zQ/EPMODuCOl1Q/s72-c/MMGN8022.jpg)
RAIS WA TFF AANDAA FUTARI KWA WADAU
![](http://2.bp.blogspot.com/-NxAN4TbIITk/U8aNzhDx-aI/AAAAAAAF2zQ/EPMODuCOl1Q/s1600/MMGN8022.jpg)
Shughuli hiyo itafanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam ambapo waalikwa wataanza kuwasili saa 11.30 jioni.
Waalikwa katika futari hiyo wametoka katika makundi mbalimbali. Makundi hayo ni wadhamini, klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza za Dar es Salaam ambazo zitawakilishwa na watu wawili wawili.
Viongozi wa zamani wa TFF, Said El...
11 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-B-KPQcpsgUQ/U6r4WLsnz2I/AAAAAAACkS4/mQXJtFSF9sU/s1600/13.jpg?width=650)
NHC YAENDESHA JUKWAA LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA NYUMBA KWA WADAU WAKE
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vzVWGpfxqos/VJYK724lR7I/AAAAAAAAEWM/LuRyYkrbUok/s72-c/DSC_0388.jpg)
RwandAir yakutana na wadau wake katika chakula cha jioni jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-vzVWGpfxqos/VJYK724lR7I/AAAAAAAAEWM/LuRyYkrbUok/s1600/DSC_0388.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-EhTRHxulxSQ/VJYK1LwLckI/AAAAAAAAEVE/6mcgpjMRZ5g/s1600/DSC_0197.jpg)
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YTihLkMqT4s/U8aOgD46ueI/AAAAAAAF2zg/PVqSMz7sxeU/s72-c/download+(1).jpg)
RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AANDAA FUTARI KWA WADAU
![](http://2.bp.blogspot.com/-YTihLkMqT4s/U8aOgD46ueI/AAAAAAAF2zg/PVqSMz7sxeU/s1600/download+(1).jpg)
Waalikwa katika futari hiyo wametoka katika makundi mbalimbali. Makundi hayo ni wadhamini, klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza za Dar es Salaam ambazo zitawakilishwa na watu wawili wawili.
Viongozi wa zamani wa TFF, Said El...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Foa8bsaPWrQ/U870Y9XN4xI/AAAAAAAF47Q/KNu3tI2d8Og/s72-c/a1.jpg)
Mstahiki Meya wa Ilala Mhe Jerry Slaa aanda futari kwa wadau mbalimbali
![](http://1.bp.blogspot.com/-Foa8bsaPWrQ/U870Y9XN4xI/AAAAAAAF47Q/KNu3tI2d8Og/s1600/a1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Dn-u-fwhu_U/U870ZSSE-jI/AAAAAAAF47U/FtjikgVw4ks/s1600/a12.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Joctej8UB2s/U870aYrNwRI/AAAAAAAF47c/BX-lCqqyndU/s1600/a14.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-wbSPRTktoB0/U870d_Si6CI/AAAAAAAF47o/j8l6Rf2LKFg/s1600/a15.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vpPuAayWQ5U/U870gkvrPqI/AAAAAAAF47w/bqppbdy4-Ns/s1600/a17.jpg)
11 years ago
Dewji Blog24 Jul
Benki ya CBA yawaandalia Futari wateja wake
Wa pili Kushoto ni Mweka Hazina Mkuu wa Benki ya CBA Bw. Julius Mcharo akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Bw. Yohane Kaduma na Sekh Salim Mohammed wakiwa kwenye IFTAR ilioandaliwa na benki ya CBA kwa ajili ya kujumuika na wateja wake na wadau mbalimbali wakati huu wa Ramadan, kwenye hotel ya Serana jana, akizungumza kwenye IFTAR hiyo Bw. Kaduma ametoa shukrani yingi kwa wateja wa CBA na kuiasa jamii kwa ujumla kuzingatia haki na amani sio kwenye kipindi hiki tu mwezi mtukufu...