Mapacha Wacharuka na Filamu ya Dada
WAIGIZAJI pacha, Regina Mroni na Christina Mroni, wameandaa bonge la muvi mpya iitwayo Dada.
Hata hivyo, ndani ya muvi hiyo ni Regina pekee ndiye aliyeigiza huku Christina akihusika kwenye upande wa utayarishaji, uongozaji na uandishi wa skpriti.
Wakiongea na FilamuCentral kutokea ndani ya ofisi za kampuni ya Tansquare Film House iliyoandaa sinema hiyo, mapacha hao wameeleza kuwa wamewasilisha ujumbe mzito ndani ya filamu hiyo.
Walisema kuwa filamu hiyo inamzungumzia msichana wa kazi...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies20 Mar
Filamu ya The Shock: Huyu Dada Alieigiza Kama Mchepuko wa Kanumba, Mh si Mchezo!
Jana nilikua naangalia hii filamu 'The Shock' huyu dada aliegiza kama demu wa pembeni wa Kanumba si mchezo, 'ameumbwa na akaumbika'. Tena nahisi Mola alimuumba asubuhi na mapemaaaa”. Aisee ni mzuri tena zaidi ya mzuri yaani bomba sana
Kanumba sijui alikua anawatoa wapi hawa warembo maana huyu hata kama ni mchepuko wako nawe una mke unakua unafanya matumizi mazuri ya pesa, kizungu wanaita value for money hapo ipo.
Inanikumbusha Bill Jerfeson Clinton, Rais wa USA alipokumbwa na ile kashfa...
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Wadau wa habari wacharuka
SIKU moja baada ya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutaka waandishi wa habari wazuiwe kuingia katika vikao vya kamati za Bunge hilo zitakazokuwa zikijadili rasimu ya katiba,...
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Wananchi wacharuka Muleba
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu 30 wakazi wa Wilaya ya Muleba kwa tuhuma za vurugu na uharibifu wa mali uliotokea wilayani humo, ikiwemo kuvunja chumba cha kuhifadhia maiti katika...
9 years ago
Habarileo07 Jan
Mawaziri wacharuka kutumbua majipu
MAWAZIRI wa Serikali ya Awamu ya Tano wakiongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wameendelea kuzuru maeneo mbalimbali nchini wakitoa matamko mazito sanjari na kuendelea ‘kutumbua majipu’ .
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Maaskofu KKKT Karagwe wacharuka
MAASKOFU, wachungaji na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, wamecharuka na kuvamia Kituo cha Polisi cha Karagwe wakipinga Mchungaji wao, Jackson Kanyiginya, kunyimwa dhamana...
10 years ago
Mtanzania16 Apr
Viongozi taasisi za dini wacharuka
Esther Mbussi na Grace Shitundu, Dar es Salaam
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amezua jambo baada ya kuhusishwa na kauli ya Serikali kuhusu kuzifungia taasisi mbalimbali zikiwamo za kidini.
Hatua ya Askofu Gwajima kuziponza taasisi hizo, imetafsiriwa na viongozi wa dini siku moja baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe kutangaza tishio la kuzifuta taasisi hizo.
Kutokana na hatua hiyo, viongozi wa dini wamemtaka Waziri Chikawe kufuta kauli yake ambayo...