Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANG’OLEWA JICHO, ARUDI NYUMBANI, AKUTA MAFURIKO

Haruni sanchawa
MTU mmoja, Mohamed Omary (40) anayesumbuliwa na jicho kwa muda mrefu ambaye ni mkazi wa Kilwa mkoani Lindi, wiki iliyopita alijikuta katika mazingira magumu baada ya kufanyiwa upasuaji uliong’oa jicho lake, lakini aliporejea nyumbani kutoka hospitalini Ocean Road jijini Dar es Salaam, alikuta nyumba ya mwenyeji wake iliyopo Magomeni, imekumbwa na mafuriko. Mohamed Omary akiwa na bandeji jichoni....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MEYA IRINGA ANG'OLEWA

  Baraza la Madiwani la Manispaa ya Iringa limemwondoa Meya wa Manispaa ya iringa-Chadema Alex Kimbe baada ya kupiga kura ya kutokuwa na imani nae kufuatia tuhuma mbalimbali za matumizi mabaya ya madaraka
Kimbe ambaye anatokana na chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema ameng’olewa madarakani leo Jumamosi Machi 28, 2020 katika kikao maalum cha madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa hiyo.
Akitangaza matokeo ya kura zilizopigwa, mwenyekiti wa kikao ambaye pia ni Naibu...

 

10 years ago

Mtanzania

Spika wa Bunge EALA ang’olewa

Margaret-ZziwaNA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA,
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margreth Zziwa, jana ameng’olewa kushika wadhifa huo baada ya wabunge 36 kati ya 49 kupiga kura za ndiyo kutokuwa na imani naye kutokana na kile kilichoelezwa ameshindwa kuongoza Bunge hilo.
Kabla ya kufikia uamuzi wa kupiga kura, Kamati ya Bunge ya Sheria, Hadhi na Madaraka ya Bunge hilo ilipewa jukumu la kuchunguza tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabili ikiwamo kuwapendelea baadhi ya wabunge, kushindwa kufuata kanuni...

 

11 years ago

CloudsFM

Kijana ang'olewa meno 232

Madaktari nchini India wametumia saa 7 kufanikisha upasuaji wa kinywa cha kijana Ashik Gavai mwenye umri wa miaka 17 aliyekuwa akipata maumivu ndani ya kinywani .

Dr Sunanda Dhiware, mkuu wa Kitengo cha tiba ya meno katika hospitali ya JJ mjini Mumbai ameiambia BBC kuwa wamefanikiwa kuyang’oa meno 232 kinywani mwa Ashik aliyeletwa hospitalini hapo akiwa amevimba taya huku akilalamika kwa maumivu makali.
Madaktari wamesema wamelazimika kutumia nyundo na tindo kuyatoa meno hayo na wakadai...

 

10 years ago

Mwananchi

Spika Eala ang’olewa madarakani

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), jana walimng’oa madarakani Spika, Dk Margret Zziwa baada ya kukubaliana na mapendekezo ya Kamati ya Sheria, Kanuni na Madaraka ya Bunge kuwa amepoteza sifa za kuendelea kushikilia wadhifa huo.

 

10 years ago

StarTV

Spika Zziwa ang’olewa rasmi.

Na Magesa Magesa

Arusha.

 

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Dokta Margret Zziwa ameng’olewa rasmi katika nafasi yake leo katika kikao cha dharura cha Bunge hilo kilichofanyika jijini Arusha leo.

 

Bunge hilo limekutana baada ya Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), kutupilia mbali maombi ya Spika Zziwa ya zuio la muda dhidi ya kikao hicho ambacho kilikuwa na hoja ya kupokea, kujadili na kuamua taarifa ya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya Spika kutoka Kamati ya Sheria, Kanuni na Madaraka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Spika Zziwa ang'olewa Afrika Mashariki

Bunge la Afrika Mashariki limemwondoa madarakani spika wake Margaret Nantongo Zziwa

 

11 years ago

BBCSwahili

Maajabu:Kijana ang'olewa meno 232

Madaktari India watumia saa 7 kufanikisha upasuaji wa kinywa cha kijana Ashik Gavai meno 232

 

10 years ago

Habarileo

Spika Bunge Afrika Mashariki ang’olewa

Margaret ZziwaSPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margaret Zziwa hatimaye ameng’olewa na baadhi ya Wabunge wa Bunge hilo.

 

11 years ago

GPL

KIJANA ANG'OLEWA MENO 232 NCHINI INDIA

Madaktari wakikagua meno aliyong'olewa kijana Ashik Gavai (17). MADAKTARI nchini India wametumia saa saba kufanikisha upasuaji wa kinywa cha kijana Ashik Gavai (17) aliyekuwa akipata maumivu ndani ya kichwa. Meno aliyong'olewa kijana Ashik Gavai (17). Dk. Sunanda Dhiware, Mkuu wa Kitengo cha tiba ya meno katika hospitali ya JJ mjini Mumbai ameiambia BBC kuwa wamefanikiwa kuyang’oa meno 232 kinywani mwa Ashik...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani