Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ankal akiwa Bagamoyo

 Air Force One ikiwa imetia nanga katika ufukwe wa Bagamoyo. Ankal akaomba na kukubaliwa kupata nayo taswira. Hakika huu mji mkongwe na wa kihistoria ukifanyiwa kazi utakuwa kivutio kikubwa mno cha watalii. Hebu wahusika kazeni buti Bagamoyo ifufuke upya....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ankal akiwa out na familia

"...Upatapo nafasi, japo mara moja kwa mwezi,  usikose kuitoa familia out", anasema Ankal akiwa na familia ufukweni Kunduchi.

 

11 years ago

Michuzi

ankal akiwa bungeni dodoma

Ankal akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Riziki Said Lulida bungeni mjini Dodoma. Mjadala wa rasimu ya kanuni za bunge hilo bado unaendelea, ambapo kinachofuata ni uchaguzi wa Katibu wa Bunge hilo na naibu wake ambao wataapishwa na Rais. Kisha Katibu huyo wa Bunge maalum atamwapisha Mwenyekiti wa Bunge atayechaguliwa ambaye naye atawaapisha Wajumbe wote. Baada ya hapo Rais atazindua Bunge na kazi rasmi ya kupata katiba mpya itaanza. 

 

10 years ago

Michuzi

ANKAL AKIWA NA WADAU WA BERLIN, UJERUMANI

Ankal (wa sita toka kulia) akiwa na wadau wakubwa wa Globu ya Jamii wa jiji la Berlin alipokutana nao hivi karibuni katiuka jiji hilo. Ankal anasema anawapenda sana wadau wake popote walipo duniani na anawashukuru kwa kuendelea kumuweka pale pale juu ya orodha ya libeneke.

 

9 years ago

Michuzi

ANKAL ALSELFIKA NA WADAU WA TAASISI YA SANAA BAGAMOYO

 Ankal alipohudhuria mahafali ya mjomba wake katika Chuo cha Ukutubi cha Bagamoyo kilichopo eneo la Ukuni  mkoa wa Pwani alibahatika kukutana na wadau wake wakubwa akiwem0 mwalimu wa sanaa katika Taasisi ya Sanaa Bagamoyo (TASUBA) na kupata nao selfie kwa kila staili. Amewaahidi kuwatembelea chuoni na kubadilishana nao uzoefu  katika fani ya upigaji picha na mbinu zingine za kupata picha nzuri Ankal na wadau wa TASUBA wakila SelfieSelfie ya chini

 

10 years ago

Michuzi

Kutoka maktaba: Ankal akiwa loliondo mwaka 1990

Hapa ni Loliondo Guest House kijijini Loliondo alimofikia Ankal wakati akifuatilia sakata la Loliondogate mwaka 1990.

 

11 years ago

Michuzi

Birthday Wishes to Ankal from Mrs Ankal

Happy birthday to you my better half, my friend, perfect father/daddy to our kids‎. Wish you happiness, wish you success n contentment in your life. I wish to be there with you but " kazi hizi" I am always thankful to God for you and for every opportunity and everything he has favoured us. His blessings are ever in abundant/ abundance. I love n cherish you and will forever do so, in a very special way. Happy birthday.
Mrs Ankal.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Akiwa Waziri Mkuu eti wapigwe tu, akiwa rais si atasema wachinjw

MOJA  ya wosia wa Baba wa Taifa Julius Nyerere ni kutaka wanaoutamani urais wa nchi kujitokeza mapema ili wananchi wapate muda wa kutosha wa kuwatambua,  kuwafahamu na kuwajadili. Alisema hivyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Timbwili Mitandaoni, Diamond Akiwa na Zari Huku Wema Akiwa na Ommy

Kweli mafahari wikigombana nyasi ndio uumia! Picha za mwanamziki Diamond akiwa na mpenzi wake Zari  wakiwa ndani ya gari alizoziweka mtandao usiku wa kuamkia leo siku ya wapendanao na kuandika kwa maneno ya lugha ya kingreza kuwa wanaelekea siku ya Valentine “Road to Valentine...”

Zilizua timbwili la maneno miongoni mwa mashabiki wa Diamond ambao walikuwa wakisifia “Project hii” na wale wa Wema  aka TeamWema walikuwa wakiponda na kumshabulia sana mwanadada Zari ikiwemo kumuiga mtindo wa...

 

5 years ago

Michuzi

DC BAGAMOYO AHIDI KUMALIZA KERO NA MALALAMIKO YA WAFANYABIASHARA WANAOTUMIA BANDARI YA BAGAMOYO

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Zainab Kawawa amewasihi wafanyabiashara kutumia bandari ya Bagamoyo kuingiza bidhaa zao na kusafirisha bidhaa zinazotoka nje ya Bagamoyo.

Mhe. Zainab ameyasema hayo alipofanya mkutano maalum na wafanyabiashara wa Bagamoyo wanaotumia bandari ndogo ya Bagamoyo baada ya wafanya biashara hao kuacha kutumia bandari hiyo wakidai huduma zisizoridhisha toka kwa uongozi wa mamlaka ya bandari ya Bagamoyo.

Akizungumza kwa niaba ya Wafanyabiashara wanaotumia bandari ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani