Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ankal akiwa bungeni dodoma

Ankal akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Riziki Said Lulida bungeni mjini Dodoma. Mjadala wa rasimu ya kanuni za bunge hilo bado unaendelea, ambapo kinachofuata ni uchaguzi wa Katibu wa Bunge hilo na naibu wake ambao wataapishwa na Rais. Kisha Katibu huyo wa Bunge maalum atamwapisha Mwenyekiti wa Bunge atayechaguliwa ambaye naye atawaapisha Wajumbe wote. Baada ya hapo Rais atazindua Bunge na kazi rasmi ya kupata katiba mpya itaanza. 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ankal na wapiganaji wa TBC1 Bungeni dodoma

Ankal akipata picha ya kumbukumbu na wapiganaji wa TBC1 waliofunga kambi mjini Dodoma kutuletea matangazo ya Bunge Maalum la Katiba. Picha na Hassan Issa wa OMPR, ZNZ.

 

9 years ago

Michuzi

ONLY IN TANZANIA: RAIS MAGUFULI AKIWA NA MARAIS WASTAAFU BUNGENI DODOMA

Andika caption ya taswira hii kwenye sehemu ya maoni. Ikivutia  zaidi ya zote utapata zawadi ya fulana ya #HAPAKAZITU.Mwisho wa kutuma caption ni Kesho Jumapili saa sita usiku.

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA BUNGENI: WAZIRI MKUU AKIWA NA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Zamani wa Morogoro, Shamim Khan, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Februari 24, 2014. Kulia ni mbunge wa Sumve Richard Ndassa. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Zamani wa Morogoro, Shamim Khan, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Februari 24, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Singida Magharibi Mohamed Bissanga na...

 

9 years ago

Michuzi

Ankal akiwa Bagamoyo

 Air Force One ikiwa imetia nanga katika ufukwe wa Bagamoyo. Ankal akaomba na kukubaliwa kupata nayo taswira. Hakika huu mji mkongwe na wa kihistoria ukifanyiwa kazi utakuwa kivutio kikubwa mno cha watalii. Hebu wahusika kazeni buti Bagamoyo ifufuke upya....

 

11 years ago

Michuzi

Ankal akiwa out na familia

"...Upatapo nafasi, japo mara moja kwa mwezi,  usikose kuitoa familia out", anasema Ankal akiwa na familia ufukweni Kunduchi.

 

10 years ago

Michuzi

ANKAL AKIWA NA WADAU WA BERLIN, UJERUMANI

Ankal (wa sita toka kulia) akiwa na wadau wakubwa wa Globu ya Jamii wa jiji la Berlin alipokutana nao hivi karibuni katiuka jiji hilo. Ankal anasema anawapenda sana wadau wake popote walipo duniani na anawashukuru kwa kuendelea kumuweka pale pale juu ya orodha ya libeneke.

 

10 years ago

Michuzi

Kutoka maktaba: Ankal akiwa loliondo mwaka 1990

Hapa ni Loliondo Guest House kijijini Loliondo alimofikia Ankal wakati akifuatilia sakata la Loliondogate mwaka 1990.

 

10 years ago

Michuzi

Binti wa Ankal alamba nondozz yake katika Chuo Kikuu cha Dodoma leo

Binti wa Ankal,Bi. Zahra Muhidin Michuzi akiwa kwenye pozi la picha mara baada ya kulamba Nondozz yake ya BA EC katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo wakati wa Mahafali ya 5 ya Chuo hicho.
Binti wa Ankal,Bi. Zahra Muhidin Michuzi akiendelea kujiachia mbele ya Kamera.Bi Zahra akiendelea kupata taswira mbali mbali.Kwa raha zake Binti Ankal.Pozi la Selfie na mdogo wake.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani