Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ankal na wapiganaji wa TBC1 Bungeni dodoma

Ankal akipata picha ya kumbukumbu na wapiganaji wa TBC1 waliofunga kambi mjini Dodoma kutuletea matangazo ya Bunge Maalum la Katiba. Picha na Hassan Issa wa OMPR, ZNZ.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ankal akiwa bungeni dodoma

Ankal akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Riziki Said Lulida bungeni mjini Dodoma. Mjadala wa rasimu ya kanuni za bunge hilo bado unaendelea, ambapo kinachofuata ni uchaguzi wa Katibu wa Bunge hilo na naibu wake ambao wataapishwa na Rais. Kisha Katibu huyo wa Bunge maalum atamwapisha Mwenyekiti wa Bunge atayechaguliwa ambaye naye atawaapisha Wajumbe wote. Baada ya hapo Rais atazindua Bunge na kazi rasmi ya kupata katiba mpya itaanza. 

 

10 years ago

Michuzi

Ankal beneti na wapiganaji Max na Mike wa jamii forum leo

 Ankal akiwa na wapiganaji Max (kushoto) na Mike wa Jamii Forum kwenye uzinduzi wa ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu Ajira Zenye Tija Tanzania leo katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaroWapiganaji wa Jamii Forum Max na Mike wakiwa hewani live kwenye uzinduzi wa ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu Ajira Zenye Tija Tanzania leo katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro

 

10 years ago

Michuzi

Binti wa Ankal alamba nondozz yake katika Chuo Kikuu cha Dodoma leo

Binti wa Ankal,Bi. Zahra Muhidin Michuzi akiwa kwenye pozi la picha mara baada ya kulamba Nondozz yake ya BA EC katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo wakati wa Mahafali ya 5 ya Chuo hicho.
Binti wa Ankal,Bi. Zahra Muhidin Michuzi akiendelea kujiachia mbele ya Kamera.Bi Zahra akiendelea kupata taswira mbali mbali.Kwa raha zake Binti Ankal.Pozi la Selfie na mdogo wake.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

11 years ago

Michuzi

BUNGENI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Mei 28, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Mei 28, 2014. Kutoka kushoto Josephine Chagulla, Esther Midimu, Christowaja Mtinda na Naomi Kaihula. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA BUNGENI DODOMA.

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na Mbunge wa Mbinga Magharibi Cpt. John Komba, Bungeni Mjini Dodoma Juni 27, 2014.  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wabunge Samuel Sita wa Urambo Masharikiambaye pia ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki (katikati) na  Mbunge wa Tabora mjini Aden Rage kwenye viwanja vya Bunge mjini  Dodoma Juni 27, 2014.  Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akitambulishwa na Mbunge wa  Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ukezaji na Uwezeshaji,...

 

10 years ago

Michuzi

Birthday Wishes to Ankal from Mrs Ankal

Happy birthday to you my better half, my friend, perfect father/daddy to our kids‎. Wish you happiness, wish you success n contentment in your life. I wish to be there with you but " kazi hizi" I am always thankful to God for you and for every opportunity and everything he has favoured us. His blessings are ever in abundant/ abundance. I love n cherish you and will forever do so, in a very special way. Happy birthday.
Mrs Ankal.

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa akielezwa jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi katika viwanja vya Bunge, mjini Dodoma jana. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akifurahia jambo na Mbunge wa Viti Maalumu,Mh.  Zainabu Vullu katika viwanja vya bunge walipohudhuria kikao cha pili cha mkutano wa 18 wa Bunge mjini Dodoma jana.

 

10 years ago

Michuzi

MATUKIO BUNGENI LEO DODOMA.

 Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akipiga kura leo kwenye ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kupitisha Sura na Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akisindikizwa kutoka ndani ya ukumbi wa Bunge Maalum leo mjini Dodoma na Askari Polisi.  Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman (mwenye Kaunda suti ya kijivu) akisindikizwa kutoka nje ya viwanja vya Bunge Maalum la Katiba leo mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani