ankal aonja na kushuhudia live uendeshaji wa kizembe barabarani...
Kamanda Mpinga na kikosi chake cha Usalama Barabarani kweli wana kazi. Ankal kalishuhudia hili wakati akirejea kutoka Dodoma kikazi kurudi Dar es salaam ambapo wakati akisafiri barabara ya Morogoro alikutana na mambo ya kutisha yanayoelekea kuendelea katika barabara zetu na kupelekea ajali za kila siku. Kwanza Ankal alishuhudia ajali za barabarani takriban tatu hivi katika siku moja tu ya Machi 20, 2015 ambapo alishuhudia lori la semi-trela za gari (zote) za Scania ambapo ya kwanza ilikuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Abiria kushuhudia ‘live’ angani Kombe la Dunia
11 years ago
Dewji Blog14 Jul
Mdau Anthony Mark Shayo ndani ya Maracanã kushuhudia LIVE fainali za Kombe la Dunia 2014
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya usafi iliyopewa zabuni ya kusafisha Manispaa ya Ilala Green Waste Pro Ltd. Bw. Anthony Mark Shayo akipata Ukodak ndani ya uwanja wa Maracana kwenye jiji la Rio de Janeiro, Brazil alipoenda kushuhudia LIVE fainali za kombe la Duniani 2014 kati ya Ujerumani na Argentina.
10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzingoma azipendazo ankal - kindly sponsored by Isumba lounge....live in action every Friday & saturday night with dj jd and fast eddie
Total Contrast - Takes a little time
10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzingoma azipendazo ankal - kindly sponsored by isumba lounge...live in action every friday & saturday nite with dj jd & fast eddie
10 years ago
MichuziBirthday Wishes to Ankal from Mrs Ankal
Mrs Ankal.
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Sitta aonja shubiri
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, na Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Samuel Sitta, jana alipata wakati mgumu baada ya kulakiwa na kundi kubwa la watu, wengi wao wakiwa...
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Magazeti ya Kiswahili yanafanya makosa ya kizembe