Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mdau Anthony Mark Shayo ndani ya Maracanã kushuhudia LIVE fainali za Kombe la Dunia 2014

10483693_10152613768874274_7623359552862710850_n

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya usafi iliyopewa zabuni ya kusafisha Manispaa ya Ilala Green Waste Pro Ltd. Bw. Anthony Mark Shayo akipata Ukodak ndani ya uwanja wa Maracana kwenye jiji la Rio de Janeiro, Brazil alipoenda kushuhudia LIVE fainali za kombe la Duniani 2014 kati ya Ujerumani na Argentina.

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Abiria kushuhudia ‘live’ angani Kombe la Dunia

Kwa mara ya kwanza katika historia Kombe la Dunia mashabiki wa soka watakaosafiri kwa ndege watashuhudia mechi zote 64 moja kwa moja mechi za michuano hiyo wakiwa angani.

 

11 years ago

Mwananchi

Waafrika watano kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia 2014

Waamuzi wamechaguliwa kutokana na uwezo wao wa kuchezesha mechi, kuusoma na kuelewa mbinu za timu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kambi za timu 32 Fainali za Kombe la Dunia 2014 Brazil

Kila zinapofanyika fainali za Kombe la Dunia, timu zinazoshiriki fainali hizo hupewa nafasi ya kuchagua hoteli na viwanja vya mazoezi vinavyokuwa vimeandaliwa kwa ajili ya kuweka kambi.

 

11 years ago

Mwananchi

Fainali za Kombe la Dunia 2014: Udhaifu, wasiwasi wa kila timu itakayoshiriki

>Fainali za Kombe la Dunia 2014 zitaanza Juni 12 hadi Julai 13 huko Brazil.Hivi sasa zimebaki siku 73 kabla ya fainali hizo kuanza, ambapo ukibaki mwezi mmoja kabla ya kuanza.

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band waendelea kutoa burudani ya kipekee ndani ya Thai Village huku ukishuhudia mechi za Kombe la Dunia Live!

DSC_0034

Meneja wa Bendi Aneth Kushaba AK47 kwenye hisia kali wakati akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku Hashim Donode akipiga back vocal. TUKUTANE THAI VILLAGE LEO USIKU KUANZIA SAA TATU BILA KUKOSA.

DSC_0008

 Digna Mbepera akiimba kwa hisia huku Aneth Kushaba AK47 akimpa sapoti.

DSC_0068

Divas watatu wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar Ijumaa iliyopita. Kutoka kushoto ni Digna Mbepera,...

 

11 years ago

Michuzi

Wawili kushuhudia kombe la dunia kupitia shindano la Kwea Pipa na TBC

Wakazi wawili wa Dar es Salaam wamejishindia tiketi za kwenda nchini Brazil kuona moja ya mechi za kombe la Dunia kupitia promosheni ya Kwea Pipa na televisheni ya Taifa ya TBC  kwa kushirikiana na kampuni ya Push Mobile Media Limited. Washindi hao ni Donald Milinde Shija (34) mkazi wa Mabibo jijini ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya Davis and Shirtliff na mshindi mwingine ni Shaban Athumani Saidi (22) mkazi wa Banana-Kitunda ambaye ni fundi pampu. Kaimu Mkurugenzi wa TBC, Suzan Mungy...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA KIPEKEE NDANI YA THAI VILLAGE HUKU UKISHUHUDIA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA LIVE!‏

Meneja wa Bendi Aneth Kushaba AK47 kwenye hisia kali wakati akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku Hashim Donode akipiga back vocal. TUKUTANE THAI VILLAGE LEO USIKU KUANZIA SAA TATU BILA KUKOSA. Digna Mbepera akiimba kwa hisia huku Aneth Kushaba AK47 akimpa sapoti.…

 

11 years ago

GPL

RAIS KENYATTA AIPELEKA HARAMBEE STARS BRAZIL KWA ZIARA YA MAFUNZO KWA KUSHUHUDIA KOMBE LA DUNIA

Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta akitoa hotuba yake katika Ikulu ya Nairobi wakati wa hafla ya kuiaga timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars aliyoipa ofa ya kwenda ziara ya mafunzo kwenye Kombe la Dunia nchini Brazil.
Rais Kenyatta akiongea na wachezaji wa Harambee Stars.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani