Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abiria kushuhudia ‘live’ angani Kombe la Dunia

Kwa mara ya kwanza katika historia Kombe la Dunia mashabiki wa soka watakaosafiri kwa ndege watashuhudia mechi zote 64 moja kwa moja mechi za michuano hiyo wakiwa angani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mdau Anthony Mark Shayo ndani ya Maracanã kushuhudia LIVE fainali za Kombe la Dunia 2014

10483693_10152613768874274_7623359552862710850_n

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya usafi iliyopewa zabuni ya kusafisha Manispaa ya Ilala Green Waste Pro Ltd. Bw. Anthony Mark Shayo akipata Ukodak ndani ya uwanja wa Maracana kwenye jiji la Rio de Janeiro, Brazil alipoenda kushuhudia LIVE fainali za kombe la Duniani 2014 kati ya Ujerumani na Argentina.

 

11 years ago

Michuzi

Wawili kushuhudia kombe la dunia kupitia shindano la Kwea Pipa na TBC

Wakazi wawili wa Dar es Salaam wamejishindia tiketi za kwenda nchini Brazil kuona moja ya mechi za kombe la Dunia kupitia promosheni ya Kwea Pipa na televisheni ya Taifa ya TBC  kwa kushirikiana na kampuni ya Push Mobile Media Limited. Washindi hao ni Donald Milinde Shija (34) mkazi wa Mabibo jijini ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya Davis and Shirtliff na mshindi mwingine ni Shaban Athumani Saidi (22) mkazi wa Banana-Kitunda ambaye ni fundi pampu. Kaimu Mkurugenzi wa TBC, Suzan Mungy...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kenyatta aipeleka Harambee Stars Brazil kwa ziara ya mafunzo kwa kushuhudia kombe la dunia

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameizawadi kwa kuifadhili timu ya taifa ya soka Harambe Stars ziara ya kwenda Brazil kutazama michuano ya kombe la dunia Hafla ya kuikabidhi rasmi ufadhili huo timu hiyo, ilifanyika katika ikulu ya Rais Ijumaa ambapo wachezaji kumi na moja wa timu hiyo walikabidhiwa tiketi za ndege kwenda Brazil.  Kitendo cha Rais bila shaka ni jambo la kutaka kuwatia motisha wachezaji wa timu ya taifa ambao hivi karibuni waliicharaza Djibouti mabao mawili kwa moja katika duru...

 

11 years ago

GPL

RAIS KENYATTA AIPELEKA HARAMBEE STARS BRAZIL KWA ZIARA YA MAFUNZO KWA KUSHUHUDIA KOMBE LA DUNIA

Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta akitoa hotuba yake katika Ikulu ya Nairobi wakati wa hafla ya kuiaga timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars aliyoipa ofa ya kwenda ziara ya mafunzo kwenye Kombe la Dunia nchini Brazil.
Rais Kenyatta akiongea na wachezaji wa Harambee Stars.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBC kurusha ‘live’ Kombe la Dunia

SHIRIKA la Utangazaji la Taifa (TBC), linatarajia kurusha moja kwa moja ‘live’ mashindano ya Kombe la Dunia kwa mechi zote 64 zitakazochezwa nchini Brazil. Michuano hiyo inatarajia kuanza kutimua vumbi...

 

11 years ago

Michuzi

ANGALIA MECHI YA UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA LIVE MTANDAONI!

KUANGALIA MTANANGE HUU LIVE MTANDAONI BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

ANGALIA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA LIVE SASA - PORTUGAL VS GERMANY



KUANGALIA MTANANGE HUU LIVE MTANDAONI BOFYA HAPA
Angalizo: Cheki ratiba hapo chini kujua muda na mechi zitazochezwa badae

 

10 years ago

Vijimambo

Angalia walichokutana nacho angani hawa abiria wa ndege

Abiria wa ndege, wakati wako angani maeneo ya jiji la San Francisco, California, walistaajabishwa kwa kukutana na chombo cha kwenda kwenye space kama mwezini n.k (spaceship) iliyokuwa imeambatanishwa kwenye Virgin Galactic’s White Knight, ndege maalum ya kukinyanyua chombo hicho mpaka kifikie mwinuko wa kukizinduaSpaceship hiyo (katikati) ikiwa imebebwa na ndege maalum ya kuisaidia kuzinduka kuelekea kwenye space

 

9 years ago

MillardAyo

Ndege ya abiria ilivyokatiza safari yake angani kisa Panya..

Matukio yameendelea kuchukua headlines India.. ukiachia lile tukio la joto kali lililofanya watu kushindwa kuvumilia  na kukaa ndani ya maji wakihofia maisha yao huku wengine wakipoteza maisha kutokana na joto kali kuna hii nyingine imetokea huko. Ndege ya Air India ambayo ilikua ikitoka Mumbai kuelekea London, Uingereza ililazimika kugeuza safari  ikiwa na abiria wake 171 na […]

The post Ndege ya abiria ilivyokatiza safari yake angani kisa Panya.. appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani