Anne Fraser Pryce ashinda mita 100
Mwanariadha wa Jamaica Shelly-Ann Fraser-Pryce alimkabili Dafne Schippers wa Uholanzi katika utepe na kushinda mbio za mita 100 upande wa wanawake kwa mda wa sekunde 10.76.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 May
Bolt ashinda mita 200
Mwanariadha raia wa Jamaica Usain Bolt ameshinda kwa urahis katika shindano lake la kwanza mwaka huu huko barani Ulaya.
9 years ago
BBCSwahili23 Aug
Mbio za mita 100 ni leo China
Mbio za mita 100 upande wa wanaume , moja ya mbio zinazoenziwa zaidi zinafanyika muda mfupi unaokuja nchini China.
9 years ago
BBCSwahili23 Aug
Bolt atawala mita 100 Beijing
Usain Bolt wa Jamaica alimpiku Justin Gatlin kwenye utepe na kuibuka mshindi wa nishani ya dhahabu ya mita 100 katika mashindano ya dunia huko China
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VS6L4Z-LmYY/VMoa30WoB1I/AAAAAAAHAJc/U_H-lf0QPco/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
BINTI WA MIAKA 22 ASHINDA MILIONI 100 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM
![](http://4.bp.blogspot.com/-VS6L4Z-LmYY/VMoa30WoB1I/AAAAAAAHAJc/U_H-lf0QPco/s1600/unnamed%2B(8).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OQUYcE3T7kYe7Vd66cq7JezZ3OUNLet7AM8ulOLxqSij2TGBAbGgYvWo3YEONRNFVy4owK8HaQIt1OIHkFILcDUhWVtLUtxp/001.Jay100.jpg)
BINTI WA MIAKA 22 ASHINDA MILIONI 100 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(katikati)akifafanua jambo kuhusiana na mshindi wa shilingi Milioni 100/-kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo ambapo Mkazi wa kilolo mkoani Iringa Bi.Uwezo Magedenge aliibuka na ushindi wa kitita hicho katika droo ya 14 iliyochezeshwa jijini Dar es Salaam leo,Wengine ni Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha Tanzania Mrisho Millao(Kushoto) na...
5 years ago
BBCSwahili05 Apr
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 05.04.2020:Coutinho, Slimani, Fraser, Lingard
Arsenal wanaimani kubwa ya kufikia makubaliano ya kumsajili winga wa Bournemouth, Ryan Fraser, 26, mkataba wake utakapomalizika msimu huu.
5 years ago
BBCSwahili11 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 11.06.2020: Sancho, Zaha, Bertrand, Fraser, Cazorla,
Borussia Dortmund itahitaji kulipwa pauni milioni 115 ili kumuuza mchezaji wa England mwenye umri wa miaka 20 Jadon Sancho. (Telegraph)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania