Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Apple music yabadili sera yake ya malipo

Huduma ya Apple music imebadilisha sera ya malipo yake ,siku moja baada ya msanii Taylor Swift kusema kuwa ataizuia kampuni hiyo kucheza mziki wa albamu yake 1989.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Apple yalazimika kubadili sera za malipo

Barua ya mwanamuziki Taylor Swift yailazimisha apple kubadili sera za malipo kwa wanamuziki katika makala ya teknolojia wiki hii

 

10 years ago

Michuzi

MAXCOM AFRIKA YATIMIZA MIAKA MITANO, YABADILI MUONEKANO WA HUDUMA YAO YA MAX MALIPO

 Mkurugnezi Mtendaji wa Kampuni ya Kitanzania ya  MaxCom Africa, inayotoa huduma za Max Malipo,  Juma Rajabu  na Mwakilishi wa Manispaa ya Kinondoni, Richard Chagula wakikata utepe kuzindua muonekano mpya wa huduma ya Max Malipo, katika hafla iliyokutanisha uongozi wa kampuni hiyo ya Jukwaa la Wahariri, leo katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Mkurugnezi Mtendaji wa MaxCom Africa, watoaji wa huduma za Max Malipo, Juma Rajabu akizindua muonekano mpya wa huduma ya Max Malipo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Google yabadili mwonekano wa Nembo yake

Google imebadili nembo yake mpya kwa ajili ya watumiaji wake

 

11 years ago

TheCitizen

Apple strikes a new chord in music

More than a decade ago, the late Steve Jobs pulled one of his trademark reality distorting manoeuvres, browbeating music label executives into selling songs on Apple Inc’s then-nascent iTunes digital store for a mere 99 cents apiece.

 

5 years ago

CCM Blog

MKANDARASI ATAKAYESHINDWA KUKAMILISHA REA KUKATWA 10% YA MALIPO YAKE-WAZIRI KALEMANI

Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani( kushoto)akitoa maelekezo kwa msimamizi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Kilole,wilayani Korogwe mkoani Tanga, Mhandisi Peter Magari, wakati waziri wa Nishati alipofanya ziara ya kushtukiza kutembelea kituo hicho kilichojengwa 1929 ambacho kinafanyiwa ukarabati kubosha utendaji kazi wake.Muonekano wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Kilole wilayani Korogwe mkoani Tanga kilichojengwa mwaka 1929, chenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2.5 za...

 

9 years ago

Bongo5

Apple Music ina watumiaji milioni 15 — CEO

Huduma ya usikilizaji muziki mtandaoni ya Apple Music, imefikisha watumiaji milioni 6.5 wanaolipia, mwenyekiti mtendaji wa kampuni hiyo, Tim Cook amesema. Akiongea kwenye mkutano ulioandaliwa na The Wall Street Journal huko Laguna Beach, Calif., Cook alisema watumiaji wengine milioni 8.5 wanashiriki kwenye mpango wa majaribio wa miezi mitatu. Apple Music ilianzishwa June mwaka huu kwaajili […]

 

10 years ago

Habarileo

Jeshi la Magereza laandaa sera yake

Kamishna Jenerali wa Magereza, John MinjaJESHI la Magereza nchini linaandaa Sera yake ya Taifa ili kuleta ufanisi katika utendaji kazi na pia kuboresha huduma zake kwa askari wake na wafungwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani