ARIEL SHARON AFARIKI
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Ariel Sharon enzi za uhai wake. Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Ariel Sharon amefariki dunia leo Januari 11, 2014. Sharon, aliyekuwa Waziri Mkuu wa 11 wa taifa hilo la kiyahudi, alikuwa kiongozi wa chama cha Likud, lakini katika mzozo mkubwa ndani ya chama hicho kufuatia tofauti za kimtizamo kuhusu ukanda wa Gaza, alijitoa Novemba 2005 na kuanzisha chama chake cha Kadima akiwa bado...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili11 Jan
Ariel Sharon afariki dunia.
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Buriani Ariel Sharon
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Israel kumuaga Ariel Sharon
11 years ago
BBCSwahili11 Jan
Maisha ya Ariel Sharon kwa picha
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
Hali ya Ariel Sharon yazorota zaidi
11 years ago
BBCSwahili11 Jan
Wasifu wa Ariel Sharon, Mtu asiyejali.
11 years ago
Mwananchi15 Jan
Ariel Sharon: Mbabe aliyepigania maisha miaka minane
11 years ago
BBCSwahili11 Jan
Kauli yako kuhusu kifo cha Ariel Sharon
10 years ago
Mwananchi29 Oct
Ariel Sharon: Mpiganaji aliyekumbana na misukosuko hadi kifo chake