Kauli yako kuhusu kifo cha Ariel Sharon
Mitandao ya kijamii imefurika ujumbe kuhusu taarifa za kifo cha Ariel Sharon. Nini kauli yako? facebook bbcswahili
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Oct
Ariel Sharon: Mpiganaji aliyekumbana na misukosuko hadi kifo chake
Historia ya Israel haiwezi kukamilika bila kutambua mchango wa mmoja wa viongozi wake waliokuwa na msimamo mkali, Ariel Sharon.
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Buriani Ariel Sharon
Ibaada maalum ya aliyekuwa waziri mkuu wa Israel Ariel Sharon imefanyika nje ya jengo la bunge la Israel, mjini Jerusalem
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
ARIEL SHARON AFARIKI
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Ariel Sharon enzi za uhai wake. Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Ariel Sharon amefariki dunia leo Januari 11, 2014.
Sharon, aliyekuwa Waziri Mkuu wa 11 wa taifa hilo la kiyahudi, alikuwa kiongozi wa chama cha Likud, lakini katika mzozo mkubwa ndani ya chama hicho kufuatia tofauti za kimtizamo kuhusu ukanda wa Gaza, alijitoa Novemba 2005 na kuanzisha chama chake cha Kadima akiwa bado...
11 years ago
BBCSwahili11 Jan
Ariel Sharon afariki dunia.
Aliyekuwa waziri Mkuu wa Israel, Ariel Sharon amefariki akiwa na umri wa miaka 85.
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Israel kumuaga Ariel Sharon
Maelfu ya watu nchini Israel wamekuwa wakitoa heshima zao za mwisho kwa hayati Ariel Sharon kabla ya mazishi yake hii leo.
11 years ago
BBCSwahili11 Jan
Wasifu wa Ariel Sharon, Mtu asiyejali.
" Barak hana haki ya kukata tamaa juu ya Jerusalem,ambayo watu walipokea kama urithi," Alisema bwana Sharon.
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
Hali ya Ariel Sharon yazorota zaidi
Hali ya kiafya ya waziri mkuu wa zamani wa Israel, Ariel Sharon ambaye amekuwa mahututi, inaendelea kuzorota na kwamba maisha yake yamo hatarini
11 years ago
BBCSwahili11 Jan
Maisha ya Ariel Sharon kwa picha
Waziri mkuu wa zamani wa Israell Ariel Sharon ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 85 baada ya kuwa hali mahututi kwa miaka 8
11 years ago
Mwananchi15 Jan
Ariel Sharon: Mbabe aliyepigania maisha miaka minane
>Sharon amefikwa na mauti akiwa na umri wa miaka 85 baada ya kuugua kiharusi tangu mwaka 2006, wakati huo akiwa kwenye kilele cha maisha yake ya kisiasa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania