Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Arsenali yamsajili Paulista

Kilabu ya Arsenal nchini Uingereza imemsajili beki Gabriel Paulista kwa kitita cha Yuro millioni 15

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ARSENALI MABINGWA WA FA

 Kocha wa Arsenali Arsene Wenger akimbusu mchezaji wake baada ya kuulopu kwa kuwashinda Hull City bao 3-2 kwa shida na kunyakua kombe la Meeee oh.... samahani.... kombe la FA baada ya miaka kenda. Kocha Wenger akifurahia kombe la Meeeeeee....leo

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal kumsajili Paulista

Kilabu ya Uhispania Villareal imethibtisha makubaliano na Arsenal kuhusu uhamisho wa beki Gabriel Paulista huko Emirates.

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yafanya mazungumzo na Paulista

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa kilabu yake imeanza mazungumzo na mlinzi wa wa Villareal Gabriel Paulista.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger:Paulista hajui kizungu

Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amekiri kwamba kutojua kizungu kwa Gabriel Paulista kutaathiri timu hiyo katika safu ya nyuma

 

10 years ago

BBCSwahili

Real Madrid yamsajili Silva

Kilabu ya Real Madrid imemsajili kiungo wa kati Lucas Silva kutoka kilabu ya Cruizero ya Brazil kwa pauni millioni 9.7.

 

10 years ago

BBCSwahili

Swansea yamsajili Andre Ayew

Mshambuliaji wa Ghana Andre Ayew amejiunga na kilabu ya Swansea kwa uhamisho wa bure na kuandikisha mkataba wa miaka minne na kilabu hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool yamsajili Firmino wa Brazil

Liverpool imemsajili mshambuliaji Roberto Firmino wa klabu ya Hoffenheim kwa kanadarasi ya miaka 5 kwa pauni millioni 29.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yamsajili Radamel Falcao

Chelsea imemsajili mshambuliaji wa klabu ya Monaco Radamel Falcao kwa makubaliano ya mkopo lakini kuna uwezekano wa kuongeza kandarasi hiyo na kuwa ya kudumu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Tottenham yamsajili N'jie wa Cameroon

Klabu ya Tottenham imemsajili mshambuliaji wa Cameroon Clinton N'jie kutoka kilabu ya Ufaransa ya Lyon.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani