Arsenal kumsajili Paulista
Kilabu ya Uhispania Villareal imethibtisha makubaliano na Arsenal kuhusu uhamisho wa beki Gabriel Paulista huko Emirates.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
Arsenal yafanya mazungumzo na Paulista
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa kilabu yake imeanza mazungumzo na mlinzi wa wa Villareal Gabriel Paulista.
10 years ago
BBCSwahili23 Jun
Arsenal kumsajili kipa wa Chelsea
Arsenal wanakaribia kuweka makubaliano ya kumsajili kipa wa Chelsea Petr Cech.
11 years ago
BBCSwahili26 Jul
Arsenal kumsajili Calum Chambers
Kilabu ya Uingereza ya Arsenal inakaribia kumsajili mlinzi wa kilabu ya Southampton Calum Chambers .
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Arsenali yamsajili Paulista
Kilabu ya Arsenal nchini Uingereza imemsajili beki Gabriel Paulista kwa kitita cha Yuro millioni 15
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Wenger:Paulista hajui kizungu
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amekiri kwamba kutojua kizungu kwa Gabriel Paulista kutaathiri timu hiyo katika safu ya nyuma
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Barcelona kumsajili Pogba
Mgombea wa wadhfa wa urais katika klabu ya Barcelona Joan Laporta anasema kuwa mabingwa hao wa Ulaya watajaribu kumsajili kiungo wa kati wa Juventus Paul Pogba iwapo atachaguliwa.
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Liverpool kumsajili Benteke
Liverpool imekubali kumsajili mshambuliaji wa Aston Villa Christian Benteke kulingana na mtandao wa Talksport.
11 years ago
BBCSwahili26 Aug
Everton kumsajili Etoo
Everton inataka kumsajili mshambulizi nyota kutoka Cameroon Samuel Eto'o kwa mkataba wa miaka 2
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Chelsea yakaribia kumsajili Cuadrado
Kilabu ya Chelsea inakaribia kuweka sahihi ya kitita cha pauni millioni 23.3 ili kumsajili chezaji wa Fiorentina Juan Cuadrado.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania