Arturo Vidal afukuzwa na kocha wa timu ya taifa ya Chile kwa ulevi
Mchezaji wa timu ya taifa ya Chile na klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani, Arturo Vidal amefukuzwa na kocha wake, Jorge Sampaoli. Timu ya taifa ya Chile ipo kwenye maandalizi ya kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Paraguay. Wachezaji wote wapo kambini na wanaendelea na mazoezi lakini Vidal aliripoti kwenye kambi ya timu ya hiyo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Kocha wa Taifa Stars afukuzwa
Kipigo cha magoli 3-0 ilichokipata timu ya taifa ya Tanzania , kimesababisha kufukuzwa kwa kocha wa timu hiyo, Mdachi Mart Nooij.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcIezKNj4s2GwZTnTt68yQJJ*Uzkw-R0ib41qljU1RkC28nN30359nILZRpLgHB6fFl6205cS2lVmu4hg6FvPnoc/MILOVAN.jpg?width=650)
Milovan awa kocha wa timu ya taifa
Kocha wa zamani wa Simba, Milovan Cirkovic. Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa zamani wa Simba, Milovan Cirkovic ameula baada ya kupata ajira mpya ya kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Myanmar. Juzi kulikuwa na sherehe maalum iliyofanywa na Shirikisho la Soka la Myanmar (MFF) kuwakaribisha makocha wote na benchi zima la ufundi akiwemo Milovan. Akizungumza na Championi Ijumaa, kutoka Myanmar Milovan amesema ameingia mkataba wa...
9 years ago
BBCSwahili27 Oct
Song ateuliwa kocha wa timu ya taifa Chad
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon Rigobert Song ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Chad.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-b9ZAk_HHaPY/VYqYeIf4p-I/AAAAAAAHjWU/425CC5N9fxw/s72-c/Kocha%2BMkwasa%2B%2528kushoto%2529%2Bna%2Bmsaidizi%2Bwake%2BHemed%2BMorocco%2Bwakiongea%2Bna%2Bwaandishi%2Bwa%2Bhabari.jpg)
KOCHA MKWASA AITA 26 TIMU YA TAIFA STARS
![](http://1.bp.blogspot.com/-b9ZAk_HHaPY/VYqYeIf4p-I/AAAAAAAHjWU/425CC5N9fxw/s640/Kocha%2BMkwasa%2B%2528kushoto%2529%2Bna%2Bmsaidizi%2Bwake%2BHemed%2BMorocco%2Bwakiongea%2Bna%2Bwaandishi%2Bwa%2Bhabari.jpg)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 104
TAREHE 24 JUNI 2015
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine leo amemtambuisha kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa mbele ya waandishi wa habari.
Akiongea na waandishi wa habari, Mwesigwa amewaomba wadau wa mpira wa miguu nchini kuwapa sapoti makocha hao wazawa wanaoanza kazi...
9 years ago
Bongo509 Sep
Kocha wa Togo amtema Adebayor kwenye timu ya taifa
Kocha wa timu ya taifa ya Togo, Tom Saintfiet, amesema hatomuita katika kikosi cha taifa mchezaji Emmanuel Adebayor. Saintfeit amesema Adebayor, 31, alishindwa kujibu alipoitwa kwenda kucheza dhidi ya Djibouti Septemba 4. Mwezi Juni, alitishia kutocheza baada ya kuvuliwa unahodha. Saintfeit amesema hayo alipo ongea na waandishi wa habari. “Kama una mpenzi ambaye anaonekana kusuasua, […]
9 years ago
Bongo527 Oct
Rigobert Song ateuliwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Chad
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon, Rigobert Song ameteuliwa na shirikisho la soka Chad (CFF) kuwa kocha wao mpya, akichukua nafasi ya Emmanuel Tregoat aliyefukuzwa. Song mwenye umri wa miaka 39, alistaafu soka mwaka 2011 na amekuwa akifanya kazi za uchambuzi kwenye TV. Sasa amethibitishwa kuwa kocha mpya wa Chad, ambayo ipo […]
10 years ago
Bongo516 Aug
Antonio Conte kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Italia
Rais wa shirikisho la mpira wa miguu la Italia, Carlo Tavecchio amempendekeza aliyekuwa kocha wa zamani wa Juventus, Antonio Conte kuwa kocha wa timu ya taifa ya Italia. Kocha huyo amewahi kushinda mataji matatu ya Serie A akiwa na Juventus. Conte atachukua nafasi ya Cesare Prandelli, aliyejiuzulu baada ya Italia kutolewa na Uruguay kwenye Kombe […]
10 years ago
Vijimambo19 Jun
Kocha timu ya taifa aomba kujiuzulu, Malinzi amkubalia ombi lake
![](http://api.ning.com/files/pX4h1nu50oHB9hVxfQb6O8OhbZIkAr8sfpJNh8BbKAbmyS*ZmCVHk-JmtXFr6h2uzlEXbPdhF5rIGGjJ69URR7xnSjjOXS33/malinzi11.jpg?width=650)
Mohammed Mdose na Said Ally
KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana chini ya miaka 15, Adolf Rishard, ameliandikia barua Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuomba kujiuzulu nafasi hiyo.
Adolf aliteuliwa na TFF miezi kadhaa iliyopita kuinoa timu hiyo ambayo imepangiwa mikakati maalumu ili iweze kukata tiketi ya kushiriki michuano ya vijana chini ya miaka 17 (U-17) itakayofanyika nchini Madagascar, mwaka 2017.
Adolf amesema...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania