Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asante Kikwete kwa kutuelewa

TAHARIRI tuliyoandika katika gazeti hili toleo la Ijumaa iliyopita ililenga kuwatahadharisha Watanzania kuhusu hatari iliyopo katika kuchezea imani za watu, tukitazama kwa umakini athari zinazoweza kulipata taifa iwapo dini na siasa vitachanganywa.

Tulikiri kufahamu kuwapo kwa mijadala isiyomalizika kuhusu uhalali wa kuchanganya siasa na dini, mijadala au malumbano ambayo hadi sasa hayajapata ufumbuzi; wengine wakidai kuwa dini na siasa haviwezi kutenganishwa kwani vyote ni kwa ajili...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Maombi ya asante kwa Museveni Uganda

Waumini nchini Uganda wamekusanyika katika uwanja wa Kololo mjini Kampala kwa maombi maalum ya kutoa shukurani kwa Rais Museveni kwa kuidhinisha sheria dhidi ya mapenzi ya jinsia moja

 

5 years ago

CCM Blog

KIGOMA WAAHIDI KUMPA RAIS DK. MAGUFULI ASANTE YA KURA ZA KISHINDO 2020 KWA DHAMIRA YAKE YA KUFUFUA ZAO LA MICHIKICHI MKOANI HUMO

Na Hamis Shimye, KigomaUAMUZI wa serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk. John Magufuli kudhamiria kufufua zao la mchikichiki ni hatua madhubuti inayokwenda kubadilisha hali na maisha ya mwananchi hasa wa Kigoma ambaye zao la mchikichi ni tegemeo la maisha yake.
Tumekuwa kwa zao hilo na hata wazazi wetu wamesoma shule kwa zao hilo ambalo kwa miaka ya nyuma ndio lilikuwa zao kubwa sana na ndio maana kwenye kila kaya ndani ya mkoa wa Kigoma huwezi ukakosa kukuta mashine ya kukamua mawese kwa...

 

11 years ago

CloudsFM

New hit: Amini - Asante

Hii ni ngoma nyingine mpya kutoka kwa Amini inatwa Asante imefanyika Njoo studio, ni ngoma nyingine tena ambayo ukiiskiliza utakubaliana namimi kwamba amepiga hatua nyine toka November au December....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Asante JK, umerahisisha kazi

NAMSHUKURU sana Rais Jakaya Kikwete kwa hotuba yake ya kulizindua Bunge Maalumu la Katiba, maana amerahisisha kazi na kuokoa fedha zetu. Namshukuru kwa sababu amepunguza muda wa wajumbe wa Bunge...

 

9 years ago

Mwananchi

Asante Diamond umetutambulisha duniani

Naweza kusema Oktoba ulikuwa mwezi mzuri kwa Watanzania hususani wapenzi na wafuatiliaji wa burudani.

 

10 years ago

BBC

Asante hopes for trophy with Mazembe

Ghana winger Solomon Asante aims for African Champions League success this season with DR Congo club TP Mazembe.

 

9 years ago

Habarileo

Majaliwa- Asante Rais Magufuli

WAZIRI Mkuu Mteule wa Serikali ya Awamu ya Tano, Majaliwa Kassim Majaliwa, amesema hakutarajia kama angeteuliwa kushika wadhifa huo, lakini aliahidi kuwa msikivu, muadilifu na mtendaji mzuri.

 

9 years ago

Mwananchi

Walemavu, wazee, wasanii wasema ‘asante JPM’

Kwa mara ya kwanza, Rais John Magufuli amemteua mtu mwenye ualbino, Dk Possy Abdallah katika Baraza la Mawaziri kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wimbo mpya wa Amini — “Asante” huu hapa

Amini2

Artist – Amini Song – Asante Producer – Jobanjo Studio – Njoo Studio

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani