ASHA BOKO AIMBISHWA ‘TOILET’
![](http://api.ning.com:80/files/GkcexZAd663moSiRi5eTRYRqoSBz8PC1YVmzL7*KIdvqa-*SsYOzuELWXsnj5j0E8iP46skWSW9ZAVxt11njYKa7oYbaqRCs/ashaboko.jpg?width=650)
Stori: Richard Bukos Msanii maarufu wa komedi, Asha Mzuzuri maarufu kama Asha Boko, Alhamisi ya wiki iliyopita alinaswa na kamera yetu akiimbishwa na njemba eneo la choo cha wanawake ndani ya Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar es Salaam siku ambayo Mashauzi Classic ilikuwa ikitoa burudani. Msanii maarufu wa komedi, Asha Mzuzuri maarufu kama Asha Boko akiwa na njemba eneo la choo cha wanawake. Katika tukio hilo paparazi wetu...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies16 Nov
Hakuna Komediani Kama Mimi Bongo- Asha Boko
MCHEKESHAJI wa Kike katika tasnia ya filamu Swahilihood Asha Boko ametamba kuwa hakuna mchekeshaji bora wa kike kama yeye Bongo bali kuna wanao jaribu lakini si kuigiza nafasi ya ucheshi kama yeye kwnai hadi sasa hajaona kabisa msanii mwenye uwezo kama alionao yeye kwa Afrika Mashariki anataka wajitokeze zaidi apate mpinzani.
“Hakuna kama Asha Boko katika sekta hiyo muhimu ya uchekeshaji ni mimi pekee yangu sioni mpinzani kabisa angalau kidogo Dogo Tausi Mdegela anajaribu kuja lakini naye...
10 years ago
Bongo Movies06 May
Hizi Ndizo Tambo za Asha Boko Kwa Komediani wa Hapa Bongo
Staa wa Bongo Movies ambaye ni moja kati ya wachekeshaji wakongwe, Asha Boko ametamba kuwa hakuna mchekeshaji bora wa kike kama yeye Bongo bali kuna wanao jaribu lakini si kuigiza nafasi ya ucheshi kama yeye kwnai hadi sasa hajaona kabisa msanii mwenye uwezo kama alionao yeye kwa Afrika Mashariki anataka wajitokeze zaidi apate mpinzani.
“Hakuna kama Asha Boko katika sekta hiyo muhimu ya uchekeshaji ni mimi pekee yangu sioni mpinzani kabisa angalau kidogo Dogo Tausi Mdegela anajaribu kuja...
10 years ago
GPLKOMEDIANI ASHA BOKO, TAUSI WATINGA ‘LIVE’ GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
Bongo Movies20 Dec
Picha Nyuma ya Kamera: Yusuph Mlela Akiwa na Asha Boko Wakifanya Yao
Hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa wakati wa utengenezaji wa Movie mpya itakayojumuisha mastaa kadhaa wakiwemo, Yusuph Mlela na Asha Boko.
Jina la Movie na itatoka lini? Bado havijawekwa wazi.
Kwauzoefu wako na uelewa wako unadhani movie hii itakuwa ni ya namna gani? Mlela na Asha Boko wamecheza kwenye movie hii wakiwa na mahusiano ya namna gani?
11 years ago
TheCitizen19 Jan
Let’s come to grips with toilet shortage problem
9 years ago
TheCitizen21 Nov
DEAR DIARY : Toilet is a matter of dignity
10 years ago
Daily News16 Apr
Healer found with human skull in toilet
Daily News
POLICE in Katavi Region have arrested an unlicensed traditional healer, Kabichi Nhuru (39), after he was found in illegal possession of a human skull hidden in the toilet in his house. The suspect, a resident of Kibaoni village in Misunkumilo ward, Mpanda ...
10 years ago
AllAfrica.Com09 Dec
Hippo Trespasses Into Resident's Toilet Pit
AllAfrica.com
Hippos are large, aggressive and usually reside in water but when one such amphibious mammal was discovered inside a toilet pit in Babati District of Manyara region, it caused major pandemonium. The incident, which occurred at Nangara Ziwani area, ...
Hippos intrude into village, causing commotion in northern TanzaniaShanghai Daily (subscription)
all 4
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/77609000/jpg/_77609760_77609691.jpg)
VIDEO: Haiti's disease-fighting eco toilet