Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hizi Ndizo Tambo za Asha Boko Kwa Komediani wa Hapa Bongo

Staa wa Bongo Movies ambaye ni moja kati ya wachekeshaji wakongwe, Asha Boko ametamba kuwa hakuna mchekeshaji bora wa kike kama yeye Bongo bali kuna wanao jaribu lakini si kuigiza nafasi ya ucheshi kama yeye kwnai hadi sasa hajaona kabisa msanii mwenye uwezo kama alionao yeye kwa Afrika Mashariki anataka wajitokeze zaidi apate mpinzani.

“Hakuna kama Asha Boko katika sekta hiyo muhimu ya uchekeshaji ni mimi pekee yangu sioni mpinzani kabisa angalau kidogo Dogo Tausi Mdegela anajaribu kuja...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Hakuna Komediani Kama Mimi Bongo- Asha Boko

MCHEKESHAJI wa Kike katika tasnia ya filamu Swahilihood Asha Boko ametamba kuwa hakuna mchekeshaji bora wa kike kama yeye Bongo bali kuna wanao jaribu lakini si kuigiza nafasi ya ucheshi kama yeye kwnai hadi sasa hajaona kabisa msanii mwenye uwezo kama alionao yeye kwa Afrika Mashariki anataka wajitokeze zaidi apate mpinzani.

“Hakuna kama Asha Boko katika sekta hiyo muhimu ya uchekeshaji ni mimi pekee yangu sioni mpinzani kabisa angalau kidogo Dogo Tausi Mdegela anajaribu kuja lakini naye...

 

10 years ago

GPL

KOMEDIANI ASHA BOKO, TAUSI WATINGA ‘LIVE’ GLOBAL TV ONLINE

Asha Boko na Tausi wakijibu maswali ya watazamaji wa kipindi cha 'Exclusive Interview' cha Global TV Online. Asha Boko akijibu swali la mtazamaji. Tausi naye akijibu maswali aliyoulizwa na watazamaji. WASANII wachekeshaji (komediani) maarufu nchini, Asha Boko na Tausi, leo wamefanya…

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA HIZI NDIZO ZILIZOTUMIA KUMMALIZA KIJANA KWA HUKUMU YA KIFO.

Mshukiwa na mlipoko wa bomu siku ya Boston Marathon ahukumiwa kifo picha hizi zilitumika kama ushaidi siku ya hukumu yake na hakimu wa kesi hiyo alisema kwa alama hizi za vidole anastahili hukumu ya kifo kwani hii ni kama kuwaonyesha Wamarekani kuwa hajari wala kujutia kosa lake.A still from a surveillance footage shows the moment Dzhokhar Tsarnaev flipped off a camera in his jail cell three months after his arrest. The image was first showed to jurors in his death penalty trial on Tuesday,...

 

9 years ago

Bongo5

Hizi ndizo timu duniani (michezo yote) zenye thamani zaidi kwa mujibu wa Forbes

Forbes wametoa orodha mpya ya timu zenye thamani zaidi duniani. Orodha hiyo inaonesha kwa upande wa soka ni Real Madrid ndio imekamata nafasi ya juu ikifuatiwa na Manchester United. Hii ndio orodha kamili 1. New York Yankees – $661m (£430m) 2. Los Angeles Lakers – $521m (£339m) 3. Dallas Cowboys – $497m (£323m) 4. New […]

 

10 years ago

Vijimambo

HII HAPA INAMHUSU YULE KIKONGWE ALIYEVUNJA HISTORIA KWA KUJIANDALIA JENEZA, HIZI HAPA SABABU ZINAZOMFANYA AJIANDAE KWA KIFO

Mkazi wa Kijiji cha Lundusi, Kata ya Peramiho, wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, Bibi Scholastica Mhagama amejiandalia jeneza lake ambalo litatumika kumzikia siku atakayoaga dunia. Bibi Scholastica Mhagama(76) ambaye amejiandalia jeneza lake litakalotumika kumzikia.Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Scholastica alisema alilitengeneza jeneza hilo zaidi ya miaka mitano iliyopita baada ya kuona anaishi kwa dhiki na anatengwa na baadhi ya watu.“Nilijitengenezea jeneza langu...

 

10 years ago

GPL

HIZI NDIZO TABIA ZA FREEMASONS

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale ambapo Sir Chande, kiongozi mstaafu wa taasisi hiyo Afrika Mashariki alipokuwa akishukuru kupewa heshima na vyombo vya kitaifa na kimataifa.
Baadhi ya vitabu vinaonesha kwamba hakuna anayejua wanachokifanya wanachama wa Freemasonry lakini inaaminika kuwa viongozi wakuu wa Tanzania wanajua kila kitu.
SASA ENDELEA… Katika zama tulizo nazo swali la nani ni Freemason...

 

10 years ago

Mwananchi

Hizi ndizo sifa za mwalimu bora- 2

Katika makala iliyopita tuliangalia baadhi ya sifa anazotakiwa kuwa nazo mwalimu. Katika makala haya tutaendelea na sifa nyingine.

 

10 years ago

Mwananchi

Hizi ndizo sifa za mwalimu bora- 1

Ualimu ni mojawapo ya fani muhimu kwa maendeleo ya taifa lolote lile duniani. Kila mmoja wetu anatambua umuhimu na michango ya walimu katika maisha yake ya kila siku.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Hizi ndizo hisia tata za mapenzi ya kweli

KATIKA suala la uhusiano wa kimapenzi, hapana shaka mpenzi mwenye kumpenda mpendwa wake kwa dhati hisia zake za kimapenzi huwa tofauti sana na yule mwenye mapenzi ya ulaghai.

Mpenzi mwenye mapenzi ya kweli hisia zake hugusa kutoka ndani ya moyo wake, ambapo wakati mwingine si rahisi hata pale mmoja anapojaribu kumshauri au kumshawishi kuhusu jambo fulani baya juu ya ampendaye akaweza kuelewa.

Mpenzi wa namna hii huwa kama mjinga ambaye ukimtishia nyau au bastola ya watoto atoe pesa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani