Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asilimia 73 ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yanayotokea miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata wasichana - Mama Salma Kikwete

Asilimia 73 ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yanayotokea  miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata wasichana  huku asilimia 15 ya vijana wote  ndiyo wanaotambua hadhi yao ya VVU na hivyo kusababisha  tatizo hilo kuendelea kuwa  kubwa.Hayo yamesemwa leo na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwenye mkutano wa 15 wa Umoja wa wake wa Marais wa Afrika wa Kupambana na Ugonjwa wa Ukimwi (OAFLA) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo Sandton Convention Centre mjini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Asilimia 73 ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yanayotokea miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata wasichana — Mama Kikwete

IMG_1997

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa Sandton International Center uliofanyika mkutano wa wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika huko Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 15.6.2015. Aliyefuatana na Mama Salma ni Mwenyekiti wa OAFLA anayemaliza muda wake Mama Hinda Derby Itno.(PICHA NA JOHN LUKUWI).

Na Anna Nkinda – Johannesburg, Afrika ya Kusini

Asilimia 73 ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yanayotokea  miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata...

 

10 years ago

Dewji Blog

73% ya maambukizi ya VVU yanayotokea miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata wasichana — Mama Kikwete

IMG_1997

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa Sandton International Center uliofanyika mkutano wa wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika huko Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 15.6.2015. Aliyefuatana na Mama Salma ni Mwenyekiti wa OAFLA anayemaliza muda wake Mama Hinda Derby Itno.(PICHA NA JOHN LUKUWI).

Na Anna Nkinda – Johannesburg, Afrika ya Kusini

Asilimia 73 ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yanayotokea  miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata...

 

5 years ago

Michuzi

LICHA YA KUWA NA MAAMBUKIZI YA VVU KWA ASILIMIA 25.00, LESOTHO NI NCHI PEKEE AFRIKA AMBAYO HAIJAKUMBWA NA VIRUSI VYA CORONA

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
HADI sasa Lesotho haijatangaza kisa cha maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19) licha ya majirani zao Afrika kusini kuwa na kesi za Covid-19 zaidi ya elfu saba na vifo zaidi ya mia moja, pia Lesotho inakua nchi pekee kati nchi 54 barani Afrika ambayo haijaripoti maambukizi ya virusi hivyo ila nchi hiyo imeendelea kuchukua hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kufunga, mipaka, vyuo, shule pamoja na shughuli nyingine...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA ELIMU: KUWAWEZESHA VIJANA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI YA KIAFYA BARANI AFRIKA

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akipokewa na Dkt. Peter Feiler, Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa Kiuchumi katika Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo ya Ujerumani wakati alipowasili kwenye Ofisi ya Ubalozi wa Ujerumani kwenye Umoja wa Mataifa huko New York alipokwenda kuhudhuria mkutano uliozungumzia masuala ya elimu: kuwawezesha vijana kufanya maamuzi sahihi ya kiafya tarehe 22.9.2014.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia...

 

9 years ago

Michuzi

ASILIMIA 75 YA WANAWAKE HUKUTWA WAKIWA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI

 Afisa Elimu kutoka  Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya Moza Makumbuli akuzungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu  ya  chanzo kikubwa cha uvunjifu wa amani  nchini unatokana na vijana wanaotumia dawa za kulevya, katika Kongamano la vijana wa kitanzania  kweye ukumbi wa Karemjee  jijini Dar es Salaam. Baadhi ya vijana walio shikiriki katika mkutano huo kweye ukumbi wa Karemjee jijini Dar es Salaam Picha na Emmanuel  Massaka wa Global ya jamii
IMEELEZWA kuwa chanzo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Elimu itolewe kwa wananchi ili kuzuia kasi ya maambukizi mapya ya VVU Wilayani Mafia — Mama Salma Kikwete

9151

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akizungumza na wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Mafia (hawapo pichani).

258

Baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Mafia wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (hayupo pichani).

Na Anna Nkinda – Maelezo, Mafia

Viongozi wa wilaya ya Mafia na wafanyakazi wa Idara ya afya wametakiwa kuhakikisha elimu ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) inatolewa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Hifadhi nyingi barani Afrika zafungwa kuepuka maambukizi kwa nyani

Haijulikani kama nyani hao wanaweza kuambukizwa virusi vya corona, lakini kuna wasiwasi kuwa wanyama hao wanaweza kuwa hatarini sawa na binaadamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani