Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LICHA YA KUWA NA MAAMBUKIZI YA VVU KWA ASILIMIA 25.00, LESOTHO NI NCHI PEKEE AFRIKA AMBAYO HAIJAKUMBWA NA VIRUSI VYA CORONA

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
HADI sasa Lesotho haijatangaza kisa cha maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19) licha ya majirani zao Afrika kusini kuwa na kesi za Covid-19 zaidi ya elfu saba na vifo zaidi ya mia moja, pia Lesotho inakua nchi pekee kati nchi 54 barani Afrika ambayo haijaripoti maambukizi ya virusi hivyo ila nchi hiyo imeendelea kuchukua hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kufunga, mipaka, vyuo, shule pamoja na shughuli nyingine...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Asilimia 73 ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yanayotokea miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata wasichana — Mama Kikwete

IMG_1997

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa Sandton International Center uliofanyika mkutano wa wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika huko Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 15.6.2015. Aliyefuatana na Mama Salma ni Mwenyekiti wa OAFLA anayemaliza muda wake Mama Hinda Derby Itno.(PICHA NA JOHN LUKUWI).

Na Anna Nkinda – Johannesburg, Afrika ya Kusini

Asilimia 73 ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yanayotokea  miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata...

 

10 years ago

Michuzi

Asilimia 73 ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yanayotokea miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata wasichana - Mama Salma Kikwete

Asilimia 73 ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yanayotokea  miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata wasichana  huku asilimia 15 ya vijana wote  ndiyo wanaotambua hadhi yao ya VVU na hivyo kusababisha  tatizo hilo kuendelea kuwa  kubwa.Hayo yamesemwa leo na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwenye mkutano wa 15 wa Umoja wa wake wa Marais wa Afrika wa Kupambana na Ugonjwa wa Ukimwi (OAFLA) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo Sandton Convention Centre mjini...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Je, nchi za Afrika zimeweza kuzuia kasi ya maambukizi?

Rwanda, Nigeria zaungana na Afrika Kusini, Ghana, Kenya kulegeza masharti.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Maharusi wamekamatwa Afrika Kusini kwa kufunga ndoa licha ya amri ya kutotoka nje

Magari ya polisi wala sio magari ya kubebea maharusi yapokea waliofunga ndoa kwa kupuuza marufuku ya kukusanyika.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Hifadhi nyingi barani Afrika zafungwa kuepuka maambukizi kwa nyani

Haijulikani kama nyani hao wanaweza kuambukizwa virusi vya corona, lakini kuna wasiwasi kuwa wanyama hao wanaweza kuwa hatarini sawa na binaadamu.

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA LIQUID TELECOM YAJA NA MAJIBU YA WATU KUENDELEA NA SHUGHULI ZA UZALISHAJI LICHA YA KUWEPO KWA VIRUSI VYA CORONA KATIKA BARA LA AFRIKA


Na Mwandishi Wetu, Michuzi Globu ya jamii

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Liquid Telecom Nic Rudnick amesema kwamba katika kipindi hiki ambacho Dunia inakabiliwa na virusi vya COVID-19 ( Coronavirus) na kusabababisha shughuli nyingi za kiuchumi kusimama katika nchi mbalimbali wao kipaumbele cha cha kampuni hiyo kwa sasa ni kusaidia na kulinda afya, ustawi na usalama wa wafanyikazi, wateja, washirika na umma mkakati wa kudumisha mwendelezo wa biashara katika viwango vyote.

Amesisitiza katika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya walioambukizwa yaongezeka Madagascar licha ya kuwa na 'dawa'

Idadi ya wagonjwa wa corona inaendelea kuongezeka Madagascar licha ya nchi hiyo kudai kuwa imepata ''dawa'' ya kukabiliana na maradhi hayo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: WHO yasema maambukizi 'yanaongezeka' Afrika

Janga la virusi vya corona linazidi kushika kasi Afrika, Shirika la Afya duniani (WHO) limesema.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona : Hatari ya kuwepo kwa dawa bandia katika nchi za Afrika

Idadi kubwa ya dawa bandia zinazohusishwa na virusi vya corona zinauzwa katika nchi zinazoendelea, Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani