Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPUNI YA LIQUID TELECOM YAJA NA MAJIBU YA WATU KUENDELEA NA SHUGHULI ZA UZALISHAJI LICHA YA KUWEPO KWA VIRUSI VYA CORONA KATIKA BARA LA AFRIKA


Na Mwandishi Wetu, Michuzi Globu ya jamii

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Liquid Telecom Nic Rudnick amesema kwamba katika kipindi hiki ambacho Dunia inakabiliwa na virusi vya COVID-19 ( Coronavirus) na kusabababisha shughuli nyingi za kiuchumi kusimama katika nchi mbalimbali wao kipaumbele cha cha kampuni hiyo kwa sasa ni kusaidia na kulinda afya, ustawi na usalama wa wafanyikazi, wateja, washirika na umma mkakati wa kudumisha mwendelezo wa biashara katika viwango vyote.

Amesisitiza katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA LIQUID TELECOM'S KUENDELEA KUZIUNGANISHA KIDIGITAL NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA ILI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO

 Na Said Mwishehe,Michuzi TV

KAMPUNI ya Liquid Telecom's Afrika Mashariki imezihakikishia nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuendelea kufanya kazi zake kwa ukaribu na kawaida kupitia mgongo wake wa jumuiya ya nchi hizo katika mabadiliko yake ya kidigitali chini ya mwezi wa mmoja kutokana na janga la COVID- 19

Kwa mujibu wa kampuni imeeleza kuwa ndiyo inayoongoza katika mawasiliano na imewezesha wanachama wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kufanya kazi kwa ukaribu na kawaida licha ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona : Hatari ya kuwepo kwa dawa bandia katika nchi za Afrika

Idadi kubwa ya dawa bandia zinazohusishwa na virusi vya corona zinauzwa katika nchi zinazoendelea, Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Maharusi wamekamatwa Afrika Kusini kwa kufunga ndoa licha ya amri ya kutotoka nje

Magari ya polisi wala sio magari ya kubebea maharusi yapokea waliofunga ndoa kwa kupuuza marufuku ya kukusanyika.

 

5 years ago

Michuzi

LICHA YA KUWA NA MAAMBUKIZI YA VVU KWA ASILIMIA 25.00, LESOTHO NI NCHI PEKEE AFRIKA AMBAYO HAIJAKUMBWA NA VIRUSI VYA CORONA

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
HADI sasa Lesotho haijatangaza kisa cha maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19) licha ya majirani zao Afrika kusini kuwa na kesi za Covid-19 zaidi ya elfu saba na vifo zaidi ya mia moja, pia Lesotho inakua nchi pekee kati nchi 54 barani Afrika ambayo haijaripoti maambukizi ya virusi hivyo ila nchi hiyo imeendelea kuchukua hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kufunga, mipaka, vyuo, shule pamoja na shughuli nyingine...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: sababu za kuwepo kwa mlipuko wa virusi kwenye viwanda vya nyama

Mamia ya wafanyakazi wamepatikana na virusi vya corona katika makapuni ya kutengeneza nyama na machinjioni

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je ni ipi siri ya bara la Afrika kutoathirika pakubwa na corona?

Tangu mgonjwa wa kwanza kutangazwa Afrika Februari 14, vyombo vya habari kote duniani, wataalamu, serikali na hata Shirika la Afya Duniani wametabiri kutokea kwa janga katika bara hilo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je virusi vya corona ni majaribu kiasi gani kwa Afrika?

Ongezeko la visa vya ugonjwa wa Covid-19 ni changamoto kubwa kwa sekta za Afya barani Afrika.

 

5 years ago

CCM Blog

MCHEKESHAJI PIERRE LIQUID AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA

Msanii wa Maigizo na Mchekeshaji 'Pierre Liquid' amethibitisha kuwa na virusi vya corona vinavyosababisha homa kali ya Mapafu
Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti la Mwanaspoti Pierre amesema kwa sasa yupo hospitali ya Amana akiwa anaendelea kupatiwa matibabu.

Akieleza namna alivyogundulika kuwa ana corona,amesema hii ni baada ya kwenda kupima wiki iliyopita hospitali ya Temeke. "Nina bosi wangu wa karibu ambaye kapata ugonjwa huu na kwa kuwa mara nyingi tuko naye alinishauri na mimi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani