Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASKARI POLISI KILIMANJARO WAFANYA ZOEZI KUJIANDAA NA ZOEZI LA UCHAGUZI.

Baadhi ya viongozi wa ngazi ya Juu Katika jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika maandalizi ya mazoezi.Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro.Fulgence Ngonyani akipokea taarifa fupi toka kwa kiongozi wa kikosi cha kutuliza ghasia.
Askari Polisi wa vikosi mbalimbali vya jeshi hilo mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika zoezi maalum.RPC Ngonyani akiongoza matembezi ya askari Polisi ikiwa ni sehemu ya mazoezi.Kikosi cha kutuliza Ghasia ,FFU.Matembezi yakiendelea kupita maeneo mbalimbali ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ASKARI CHUO CHA POLISI MOSHI WAFANYA UTALII WA NDANI MLIMA KILIMANJARO

Kundi la watalii wa ndani ambao minongoni mwao walikuwa ni Askari kutoka chuo cha taaluma ya Polisi Moshi wakipanda kuelekea Shira Hut moja ya kilele katika Mlima Kilimanjaro. Ofa ya utalii wa ndani katika mlima Kilimanjaro ilijumuisha watu wa Kila Rika,hapa mmoja wa watalii wa ndani akiwa na mtoto wake mgongoni. Kiasi safari ilikuwa ngumu kwa baadhi ya watalii wa ndani
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU KUANZA KUFANYA ZOEZI LA KUJIANDAA NA MAAFA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Bi. Rose Shelukindo akisisitiza umuhimu wa zoezi la Kujiandaa na Maafa yanayofanyika mjini Bagamoyo. Baadhi ya Washiriki wa zoezi la Kujiandaa na Maafa wakifuatilia maelezo ya Mpango wa kujiandaa na Maafa yanayofanyika mjini Bagamoyo kutoka kushoto ni John Jordan Mratibu i mradi CDHAM , Mhandisi. Fanuel Kalugendo-Ofisi ya Waziri Mkuu na Faith Cooper Mratibu Mradi CDHAM. Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri...

 

11 years ago

Mwananchi

Waangalizi, wasimamizi wadai zoezi la uchaguzi lilienda vizuri Unguja

>Wasimamizi wa Uchaguzi na waangalizi wa vyama  vya siasa wamesema, zoezi la uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki limekwenda vizuri licha ya kasoro iliojitokeza ya baadhi ya watu kutoona majina yao katika orodha ya matangazo ya wapiga kura yaliyobandikwa katika vituo siku 21 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi huo.

 

10 years ago

Michuzi

TAMKO LA POLISI KUHUSU ZOEZI LA KUAPISHWA KWA WENYEVITI NA WAJUMBE WA SERIKALI ZA MITAA

Kufuatia kukamilika kwa mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji na hivi sasa kuendelea kwa zoezi la kuapishwa kwa viongozi hao katika maeneo mbalimbali hapa nchini, kumejitokeza tabia ya baadhi ya wananchi kufanya vurugu na fujo katika zoezi hilo.
Baadhi ya wananchi wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya kihalifu kwa kufanya fujo na vitendo vya vurugu ikiwemo kuwapiga baadhi ya watendaji wanaosimamia zoezi la kuapisha na kuwapiga viongozi wateule...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU USHIRIKI WA WANAJESHI kWENYE ZOEZI HILO

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetoa ufafanuzi kuhusu ushiriki wa Wanajeshi katika  uboreshaji wa zoezi la uandikishaji wa daftari la kupiga kura.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Tume inasema kutakuwepo na wanajeshi 6 wa Jeshi la Wananchi katika kila kituo ambao kazi yao ni kusaidia shughuli za lojistiki kama vile kuhamisha vifaa kutoka kata moja kwenda nyingine.
Pia wanajeshi hao watasaidia katika shughuli za kufanya matengenezo madogo madogo ya vifaa yanayoweza kujitokeza wakati wa zoezi la...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tume ya Uchaguzi ‘NEC’ yaombwa zoezi la upigaji kura lianze saa 12:00 Asubuhi Shinyanga

DSC01147

Baadhi ya waandishi wa habari 25 kutoka mikoa ya Singida, Katavi, Kigoma na Shinyanga,waliohudhuria mafunzo ya uandishi bora wa habari za uchaguzi yaliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Vigimark hotel nje kidogo ya mji wa Shinyanga. Mafunzo hayo ya siku tano, yaliratibiwa na Baraza la habari (MCT) na kufadhiliwa na BBC Media Action .Wa tatu kulia waliosimama, ni mwandishi wa habari wa Modewji blog, Singida, Bw. Nathaniel Limu.

DSC01142

Baadhi ya barabara ndani ya manispaa ya Shinyanga.(Picha na...

 

10 years ago

Vijimambo

ZOEZI LA UTOAJI KADI LA ENDELEA CCM NEW YORK KUELEKEA KWENYE UCHAGUZI TAREHE 11 MWEZI HUU

Shaban Mseba na Seif Akida wakimkabizi kadi ya CCM Dr Temba na kushoto  kwa Dr ni Ebra akishuudia utoaji kadi huo uliofanyika Brooklyn  NY. Tawi la CCM New York liko mbioni kufanya uchaguzi wa viongozi mwezi huu tarehe 11. Uchaguzi huo utafanyika 30 Overhill Rd, Mt Vernon.NY. Chukua kadi yako mapema hili uwe na haki ya kupiga kura siku hiyo kumchagua kiongozi wako. Desdery na Dr Temba wakionyesha kadi zao za CCM

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani