Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu Mhogolo afariki dunia

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Kati, Godfrey Mhogolo, amefariki dunia Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Katibu Mkuu wa kanisa hilo, Dayosisi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Pinda kuongoza maziko ya Askofu Mhogolo

WACHUNGAJI wapatao 300 waliokuwa wakifanya kazi chini ya aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Dodoma, Marehemu Godfrey Mdimi Mhogolo wametakiwa kujipa moyo wakati wa kipindi hiki kigumu cha kumpoteza kiongozi wao.

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MHOGOLO MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiweka shada la maua katika kaburi la Askofu Godfrey Mhogolo wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika, yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu mjini Dodoma Aprili 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Michuzi

IBADA YA KUUOMBEA MWILI WA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN DAYOYSISI YA KATI GODFREY MHOGOLO

 Jeneza likiwa na  mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Dayosisi ya Dodoma Godfrey Mdimi Mhogolo aliyefariki wiki iliyopita nchini Afrika yaKusini alikopelekwa kwa matibabu likiwa ndani ya kanisa kuu la Roho Mtakatifu wakati wa ibada maarumu. Waumini na viongozi wa kanisa la Anglican Dayosisi ya kati wakilishusha Jeneza lilibeba mwili wa aliyekuwa askofu wa kanisa hilo Godfrey Mhogolo ulipofikishwa kwa mara ya kwanza tokea alipofariki nchini Afrika ya Kusinikanisani hapo kwa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MHOGOLO WA ANGLIKANI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakiweka shada la maua katika kaburi la Askofu Godfrey Mhogolo wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu mjini Dodoma Aprili 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Dewji Blog

Ibada ya kuuombea mwili wa aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Anglican Dayoysisi ya kati Godfrey Mhogolo yafanyika leo

1

 

Jeneza likiwa na  mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Dayosisi ya Dodoma Godfrey Mdimi Mhogolo aliyefariki wiki iliyopita nchini Afrika ya Kusini alikopelekwa kwa matibabu likiwa ndani ya kanisa kuu la Roho Mtakatifu wakati wa ibada maarumu.

Waumini na viongozi wa kanisa la Anglican Dayosisi ya kati wakilishusha Jeneza lilibeba mwili wa aliyekuwa askofu wa kanisa hilo Godfrey Mhogolo ulipofikishwa kwa mara ya kwanza tokea alipofariki nchini Afrika ya Kusini kanisani hapo...

 

11 years ago

GPL

IBADA YA KUUOMBEA MWILI WA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN DAYOYSISI YA KATI GODFREY MHOGOLO YAFANYIKA LEO‏

 Jeneza likiwa na  mwili wa aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Anglican Dayosisi ya Dodoma Godfrey Mdimi Mhogolo aliyefariki wiki iliyopita nchini Afrika ya Kusini alikopelekwa kwa matibabu likiwa ndani ya kanisa kuu la Roho Mtakatifu wakati wa ibada maalum. Waumini na viongozi wa Kanisa la Anglican Dayosisi ya kati wakilishusha Jeneza lilibeba mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa hilo, Godfrey Mhogolo ulipofikishwa kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia

>Mtume wa Kanisa la World Message Last Warning ambaye alitabiri kwamba mwaka 2000 utakuwa mwisho wa dunia, Wilson Bushara (53) amefariki dunia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Askofu aliyekabiliwa na kesi aaga dunia

Aliyekuwa Askofu wa kanisa la Katoliki ambaye alitarajiwa kufikishwa mahakamani kwa madai ya dhuluma za ngono amefariki

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu Tutu: Viongozi wa dunia hatuna budi kumuenzi Mandela

Mshindi wa Nishani ya Amani ya Nobel, Askofu Desmond Tutu amesema ana imani kwamba viongozi wanaotaka umashuhuri duniani watafuata mfano wa Nelson Mandela.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani