Pinda kuongoza maziko ya Askofu Mhogolo
WACHUNGAJI wapatao 300 waliokuwa wakifanya kazi chini ya aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Dodoma, Marehemu Godfrey Mdimi Mhogolo wametakiwa kujipa moyo wakati wa kipindi hiki kigumu cha kumpoteza kiongozi wao.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWAZIRI MKUU PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MHOGOLO MJINI DODOMA
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MHOGOLO WA ANGLIKANI MJINI DODOMA
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Askofu Mhogolo afariki dunia
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Kati, Godfrey Mhogolo, amefariki dunia Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Katibu Mkuu wa kanisa hilo, Dayosisi...
11 years ago
MichuziIBADA YA KUUOMBEA MWILI WA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN DAYOYSISI YA KATI GODFREY MHOGOLO
10 years ago
Habarileo13 Aug
Kikwete kuongoza maziko ya Kisumo
RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuongoza maelfu ya waombolezaji katika maziko ya aliyekuwa mwasisi wa TANU na CCM, Peter Kisumo.
11 years ago
Dewji Blog06 Apr
Ibada ya kuuombea mwili wa aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Anglican Dayoysisi ya kati Godfrey Mhogolo yafanyika leo
Jeneza likiwa na mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Dayosisi ya Dodoma Godfrey Mdimi Mhogolo aliyefariki wiki iliyopita nchini Afrika ya Kusini alikopelekwa kwa matibabu likiwa ndani ya kanisa kuu la Roho Mtakatifu wakati wa ibada maarumu.
Waumini na viongozi wa kanisa la Anglican Dayosisi ya kati wakilishusha Jeneza lilibeba mwili wa aliyekuwa askofu wa kanisa hilo Godfrey Mhogolo ulipofikishwa kwa mara ya kwanza tokea alipofariki nchini Afrika ya Kusini kanisani hapo...
11 years ago
GPLIBADA YA KUUOMBEA MWILI WA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN DAYOYSISI YA KATI GODFREY MHOGOLO YAFANYIKA LEO
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
Askofu Geita atoa onyo maziko ya Padri Kimisha
ASKOFU wa Jimbo Katoliki Geita, Damian Dallu, aliongoza mamia ya wakazi wa Geita na maaskofu kwenye ibada ya mazishi ya Padri Henry Kimisha aliyekuwa Paroko wa Kanisa la Mama Fatima...
9 years ago
MichuziAskofu Mkuu wa Tabora Kuongoza ujumbe wa Tanzania kumuona Papa Francis Uganda
Askofu Mkuu wa jimbo kuu la Tabora Mhashamu Paulo Ruzoka kesho (tarehe 27.11.2015) anatarajia kuongoza ujumbe wa Tanzania kwenye ziara ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Francis nchini Uganda.
Baba Mtakatifu Francis anatarajia kuwasili nchini Uganda kesho kwa ziara ya siku mbili akitokea Kenya kabla ya kuelekea Afrika ya Kati.
Hii ni ziara ya kwanza kwa kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani kutembelea Bara la Afrika tangu...