Kikwete kuongoza maziko ya Kisumo
RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuongoza maelfu ya waombolezaji katika maziko ya aliyekuwa mwasisi wa TANU na CCM, Peter Kisumo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Siasa yatawala maziko ya Kisumo
11 years ago
Habarileo04 Apr
Pinda kuongoza maziko ya Askofu Mhogolo
WACHUNGAJI wapatao 300 waliokuwa wakifanya kazi chini ya aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Dodoma, Marehemu Godfrey Mdimi Mhogolo wametakiwa kujipa moyo wakati wa kipindi hiki kigumu cha kumpoteza kiongozi wao.
9 years ago
VijimamboRais Kikwete Amzika Kisumo Mwanga
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo kilichowekwa kanisani wakati wa mazishi ya kada mkongwe wa CCM Mzee Peter Kisumo yaliyofanyika kijijini kwake Usangi-Mwanga Mkoani Kilimnjaro leo(picha na Freddy Maro)
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Rais Kikwete kumzika Kisumo leo
Na Upendo Mosha, Moshi
RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuongoza mamia ya waombolezaji katika ibada ya mazishi ya aliyekuwa mwasisi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Kisumo wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, wakati akizungumza na MTANZANIA, ambapo alisema mwanasiasa huyo mkongwe atazikwa katika makaburi ya familia kijijini kwao Usangi wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Alisema kuwa Rais Kikwete anatarajia kuongoza...
9 years ago
Daily News14 Aug
Kikwete leads mourners at Kisumo burial
Daily News
PRESIDENT Jakaya Kikwete yesterday led hundreds of mourners who had gathered here to attend the burial of veteran politician Peter Kisumo. Mr Kikwete, who used a helicopter, arrived at Usangi airstrip and hailed the former CCM cadre as a dedicated ...
10 years ago
Habarileo05 Aug
Kikwete aomboleza kifo cha Mzee Kisumo
RAIS Jakaya Kikwete ameelezea kuhuzunishwa na kifo cha mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, Mzee Peter Kisumo ambaye alipata kuwa Mzee wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhamini wa CCM na aliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya Serikali na utumishi wa umma ukiwemo uwaziri.
11 years ago
Mwananchi30 Jul
KATIBA: Mzee Kisumo amhadharisha Rais Kikwete
9 years ago
Mtanzania14 Aug
Rais Kikwete aongoza waombolezaji mazishi ya Kisumo
Na Upendo Mosha, Mwanga
RAISI Jakaya Kikwete jana aliongoza maelfu ya wananchi katika mazishi wa mwasisi wa chama cha TANU na baadaye Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Kisumo yaliyofanyika katika Kijiji cha Kirongwe wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Ibada ya mazishi ilifanyika katika Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Pare ambako ibada ya mazishi iliongozwa na aliyekuwa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini, Dk. Marth Shao.
Rais Kikwete aliwasili kijijini hapo saa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-kcDHfOz-ffM/VcJOajbrNNI/AAAAAAAHuag/tcdG1bggd4E/s72-c/unnamed%2B%252844%2529.jpg)
RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU MZEE PETER KISUMO
![](http://4.bp.blogspot.com/-kcDHfOz-ffM/VcJOajbrNNI/AAAAAAAHuag/tcdG1bggd4E/s640/unnamed%2B%252844%2529.jpg)