Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete Amzika Kisumo Mwanga


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo kilichowekwa kanisani wakati wa mazishi ya kada mkongwe wa CCM Mzee Peter Kisumo yaliyofanyika kijijini kwake Usangi-Mwanga Mkoani Kilimnjaro leo(picha na Freddy Maro)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza la Kada Mkongwe wa CCM Marehemu Mzee Peter Kisumo wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika huko kijijini kwake Usangi- Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo.Rais Dkt.Jakaya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Rais Kikwete kumzika Kisumo leo

imageNa Upendo Mosha, Moshi

RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuongoza mamia ya waombolezaji katika ibada ya mazishi ya aliyekuwa mwasisi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Kisumo wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama,  wakati akizungumza na MTANZANIA, ambapo alisema mwanasiasa huyo mkongwe atazikwa katika makaburi ya familia kijijini kwao Usangi wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.

 

Alisema kuwa Rais Kikwete  anatarajia kuongoza...

 

11 years ago

Mwananchi

KATIBA: Mzee Kisumo amhadharisha Rais Kikwete

>Mwanasiasa mkongwe nchini, Peter Kisumo amemtaka Rais Jakaya Kikwete na chama chake, CCM kuwa makini na msimamo Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) akisema haamini kama umoja huo umesema kila unachokusudia kukifanya.

 

9 years ago

Mtanzania

Rais Kikwete aongoza waombolezaji mazishi ya Kisumo

kisumoNa Upendo Mosha, Mwanga

RAISI Jakaya Kikwete jana aliongoza maelfu ya wananchi katika mazishi wa mwasisi wa chama cha TANU na baadaye Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Kisumo yaliyofanyika katika  Kijiji cha Kirongwe wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Ibada ya mazishi ilifanyika katika Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Pare ambako ibada ya mazishi iliongozwa na aliyekuwa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini, Dk. Marth Shao.
Rais Kikwete aliwasili kijijini hapo saa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU MZEE PETER KISUMO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo Upanga jijini Dar es salaam alipokwenda kwenye msiba wa mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, aliyefariki dunia Jumatatu katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili ambako alikuwa anapatiwa matibabu8 ya figo. Marehemu Mzee Kisumo alipata kuwa Mzee wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhamini wa Chama cha CCM na aliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA RAMBILAMBI KWA FAMILIA YA MZEE PETER KISUMO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesikitishwa na kuhuzunishwa mno na kifo cha mmoja wa wanasiasa wa kongwe nchini, Mzee Peter Kisumo ambaye alipata kuwa Mzee wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhaminiwa Chama cha CCM naaliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya Serikali na utumishi wa umma ukiwemo uwaziri.
“Nimepokeakwamasikitikomakubwanahuzuninyingitaarifayakifo cha Mzee Peter Kisumoambayenimejulishwaaliagaduniajana,...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete kuongoza maziko ya Kisumo

RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuongoza maelfu ya waombolezaji katika maziko ya aliyekuwa mwasisi wa TANU na CCM, Peter Kisumo.

 

9 years ago

Daily News

Kikwete leads mourners at Kisumo burial


Kikwete leads mourners at Kisumo burial
Daily News
PRESIDENT Jakaya Kikwete yesterday led hundreds of mourners who had gathered here to attend the burial of veteran politician Peter Kisumo. Mr Kikwete, who used a helicopter, arrived at Usangi airstrip and hailed the former CCM cadre as a dedicated ...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aomboleza kifo cha Mzee Kisumo

RAIS Jakaya Kikwete ameelezea kuhuzunishwa na kifo cha mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, Mzee Peter Kisumo ambaye alipata kuwa Mzee wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhamini wa CCM na aliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya Serikali na utumishi wa umma ukiwemo uwaziri.

 

10 years ago

Vijimambo

BILIONEA NIGERIA AMZIKA MAMA YAKE NDANI YA HUMMER

Bilionea Nigeria aliyeiwekea marembo gari la Humeer yenye thamani ya dola 1,000 na kumzika nayo mama yake katika mji wa Enugu nchini Nigeria.Gari la Hummer lililobeba mwili wa marehemu likiingizwa kaburini
Bilionea akimzika mama yake ndani ya gari la Hummer nchini Nigeria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani