Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BILIONEA NIGERIA AMZIKA MAMA YAKE NDANI YA HUMMER

Bilionea Nigeria aliyeiwekea marembo gari la Humeer yenye thamani ya dola 1,000 na kumzika nayo mama yake katika mji wa Enugu nchini Nigeria.Gari la Hummer lililobeba mwili wa marehemu likiingizwa kaburini
Bilionea akimzika mama yake ndani ya gari la Hummer nchini Nigeria.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

KwanzaJamii

Mtoto aliyetupwa ndani ya gunia na mama yake

Na Albano Midelo BARAKA Ndunguru mtoto wa kike aliyesimama pichani, alizaliwa mwaka 1999 akiwa na mwezi mmoja aliwekwa kwenye gunia na kutupwa kwenye mkondo wa maji ya mvua na mama yake katika kijiji cha Tukusi wilayani Mbinga mkoani Ruvuma. Hata hivyo Baraka  aliokotwa na msamaria mwema  na kupelekwa katika kituo cha kulelea watoto yatima cha watawa wabenediktine wa shirika la mtakatifu Agnes Chipole Songea mkoani Ruvuma ambapo amekuwa analelewa hadi sasa akiwa anasoma darasa la sita katika...

 

11 years ago

CloudsFM

HUYU NDIYE MTOTO ALIYEFUNGIWA NDANI YA BOKSI KWA MIAKA MINNE NA MAMA YAKE MLEZI ILI ASIMWAMBUKIZE VIRUSI VYA UKIMWI

Mtoto wa miaka minne (jina limehifadhiwa), amedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu, kwa kufungiwa ndani ya boksi kama mnyama, ili asimuambukize mama mlezi virusi vinavyosababisha Ukimwi.

Unyama huo wa kusikitisha, umefanyika muda wote huo kwa mtoto huyo Morogoro mjini katika mtaa wa Azimio bila kuripotiwa popote, huku wakazi na majirani wa nyumba hiyo wakisikia akikohoa na kulia usiku, na baba yake mzazi akiendelea na maisha kwa kumuogopa mkewe.
Wakizungumza na...

 

10 years ago

Bongo5

Bilionea wa Nigeria Aliko Dangote bado anataka kuinunua timu ya Arsenal!

Tajiri wa kwanza Afrika, Aliko Dangote, amekiri kuwa bado ana mpango wa kuinunua club ya Arsenal licha ya kushindwa kufanya hivyo mwaka 2010. Dangote mwenye utajiri wa dola bilioni 15.7 (£10.38bn) anawazidi walimiki wa sasa wa club hiyo, Stan Kroenke (£3.7bn) na Alisher Usmanov (£9.65bn). “Bado nina matumaini, siku moja kwa bei sahihi kwamba nitainunua […]

 

10 years ago

Michuzi

BILIONEA DANGOTE AKAGUA UFUKWE ATAKAOJENGA BANDARI YAKE YA KISASA MTWARA

 Mfanyabiashara maarufu Afrika, ambaye ni Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dabgote akinyoosha mkono kuangalia eneo la ufukwe wa Bahari ya Hindi katika Kijiji cha Mgao, Kata ya Maumbu, Tarafa ya Mayanga, Mtwara Vijijini, ambapo atajenga bandari yake ya kisasa kwa ajili kusafirisha saruji itakayozalishwa kwenye kiwanda chake kikubwa kinachojengwa katika Kijiji cha Msijute. Alhaji Dangote akiwa na viongozi wa Kijiji cha Mgao pamoja na...

 

10 years ago

Mwananchi

Bilionea wa Nigeria amtuliza mshindi wa pili Big Brother kwa Sh607 milioni

Bilionea Ayiri Emami, ametoa kitita cha Dola za Marekani 350,000  (Sh607 milioni), kwa mshindi wa pili wa mashindano ya Big Brother Hotshots 2014, Tayo Faniran.

 

10 years ago

Vijimambo

BILIONEA DANGOTE ALIRIDHIA UJENZI WA BANDARI YAKE MTWARA KWA KUSHIRIKIANA NA TPA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaji Aliko Dangote, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia alipowasili kwenye uwanja wa Ndege mjini Mtwara jana kwa ajili ya kutembelea kiwanda chake cha Cementi kilichoko Msijute, mkoani Mtwara. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Hawa Ghasia akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaji Aliko Dangote, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara leo kwa ajili ya kuangalia...

 

10 years ago

Michuzi

BILIONEA DANGOTE ALIDHIA UJENZI WA BANDARI YAKE MTWARA KWA KUSHIRIKIANA NA TPA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaji Aliko Dangote, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia alipowasili kwenye uwanja wa Ndege mjini Mtwara jana kwa ajili ya kutembelea kiwanda chake cha Cementi kilichoko Msijute, mkoani Mtwara.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Hawa Ghasia akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaji Aliko Dangote, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara leo kwa ajili ya kuangalia...

 

10 years ago

GPL

BILIONEA NIGERIA AMZAWADIA TAYO $ 350,000 BAADA YA KUKOSA ZA BIG BROTHER HOTSHOTS

Tayo. INADAIWA kuwa baada ya mshiriki wa Nigeria kwenye shindano la Big Brother Hotshots, Tayo kuzikosa $ 300,000 za shindano hilo ambazo zilichukuliwa na mshiriki kutoka Tanzania Idris Sultan, mfanyabiashara bilionea na Nigeria ameamua kumzawadia Tayo $ 350,000 zaidi ya shilingi milioni 600. Bilionea Ayiri Emami. Bilionea huyo aitwaye Ayiri Emami ameamua kuongeza dola 50,000 juu zaidi ya ile… ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Laiser Saniniu: Amezungumza na BBC kuhusu malengo yake baada ya kutambuliwa kuwa bilionea

Mchimbaji mdogo wa madini Laiser Saniniu Amezungumza na BBC kuhusu malengo yake baada ya kutambuliwa kuwa bilionea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani