Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BILIONEA NIGERIA AMZAWADIA TAYO $ 350,000 BAADA YA KUKOSA ZA BIG BROTHER HOTSHOTS

Tayo. INADAIWA kuwa baada ya mshiriki wa Nigeria kwenye shindano la Big Brother Hotshots, Tayo kuzikosa $ 300,000 za shindano hilo ambazo zilichukuliwa na mshiriki kutoka Tanzania Idris Sultan, mfanyabiashara bilionea na Nigeria ameamua kumzawadia Tayo $ 350,000 zaidi ya shilingi milioni 600. Bilionea Ayiri Emami. Bilionea huyo aitwaye Ayiri Emami ameamua kuongeza dola 50,000 juu zaidi ya ile… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Bilionea wa Nigeria amzawadia Tayo $350,000 baada ya kushindwa kuzinyakua $300,000 za BBA HotShots

Imeripotiwa kuwa baada ya mshiriki wa Nigeria kwenye shindano la Big Brother Afrika, Tayo kuzikosa dola laki tatu za Biggie zilizomwendea Idris wa Tanzania Jumapili iliyopita, mshiriki huyo wa Naija amezawadiwa $350,000 sawa na zaidi ya milioni 600 kutoka kwa shabiki wake bilionea. Idris (kushoto) akiwa na Tayo (kulia) Bilionea huyo aitwaye Ayiri Emami ameamua […]

 

10 years ago

GPL

TAYO WA BBA AKANUSHA KUPEWA $350,000 NA BILIONEA

Tayo (kulia) akiwa na mshindi wa BBA 2014 Hotshots, Idris (kushoto). Mshindi wa pili wa BBA Hotshots, Tayo kutoka Nigeria amekanusha habari zilisambaa wiki hii kuwa amezawadiwa $350,000 na bilionea wa Nigeria, Ayiri Emani baada ya kuzikosa $300,000 za BBA zilizonyakuliwa na Idris wa Tanzania. Tayo amekanusha habari hizo alipohojiwa na kituo cha Radio 1 South Africa. Amesema kuwa habari hizo za kupewa kiasi hicho kikubwa cha pesa...

 

10 years ago

Mwananchi

Bilionea wa Nigeria amtuliza mshindi wa pili Big Brother kwa Sh607 milioni

Bilionea Ayiri Emami, ametoa kitita cha Dola za Marekani 350,000  (Sh607 milioni), kwa mshindi wa pili wa mashindano ya Big Brother Hotshots 2014, Tayo Faniran.

 

10 years ago

Michuzi

Big Brother Hotshots revealed

Fans of Africa’s biggest reality show, Big Brother Africa, will no longer have to wait in anticipation until the launch on the 5th of October to meet the Big Brother Hotshots. 
In a bold and ground breaking move, M-Net and series producers Endemol SA will be delivering a new world first by unveiling the names of the participating housemates live on the official Big Brother website which launches at 14h00 CAT on  Wednesday 17 September.
Three Big Brother housemates will be introduced on a daily...

 

10 years ago

Dewji Blog

Big Brother Hotshots — Eviction Show

IMG_6400

(Sunday, 16 November) two big Brother Hotshots Housemates were evicted, Samantha from South Africa and Mr 265 from Malawi.  Biggie also introduced former Big Brother Housemates to be paired up with the Hotshots Housemates for one. Africa’s biggest reality show Big Brother Hotshots, produced for M-Net’s AfricaMagic, is being screened live 24/7 on DStv 197/198. For more information log on to www.bigbrotherafrica.com Picture here: The Hotshots Housemates

IMG_6907

Pictured here: Samantha, IK and Mr...

 

10 years ago

Bongo5

Big Brother Hotshots kuzinduliwa October 5

Shindano la Big Brother Hotshots litazinduliwa October 5, makampuni ya M-Net na Endemol SA yamesema. Makampuni hayo yamedai kuwa nyumba mpya ya Big Brother imepatikana jijini Johannesburg, Afrika Kusini baada ya kile walichodai moto kuunguza jumba la kwanza September 2. “M-Net and Endemol SA are pleased to announce that Big Brother Hotshots will officially launch […]

 

10 years ago

Michuzi

Big Brother Hotshots - Launch Show

Africa’s biggest reality show Big Brother Hotshots, produced for M-Net’s AfricaMagic, is being screened live 24/7 on DStv 197/198. For more information log on to www.bigbrotherafrica.com Pictured here: Laveda (Tanzania)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani