Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AT na Kiguu na Njia

ATNA SHARIFA MMASI
MKALI wa wimbo wa ‘Sijazoea’, Aly Ramadhani (AT) yupo mbioni kukamilisha wimbo wake mpya alioupachika jina la ‘Kiguu na Njia’.
Wimbo huo unafanyiwa marekebisho madogo madogo katika studio ya Uprize Music iliyopo chini ya prodyuza Fraga, ili isambazwe kwenye vituo vya redio kwa ajili ya kuchezwa rasmi.
AT alisema baada ya wimbo huo kuanza kusikika redioni atajipanga kufanya video nzuri itakayomhusisha mmoja wa waigizaji wakongwe katika uigizaji nchini ili kunogesha video...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHOGA; KIGUU NA NJIA CHAKO KITAMKIMBIZA MUMEO NYUMBANI!

Shoga, leo ni Jumanne nyingine ambapo tunakutana katika hiki kilinge chetu tunachokitumia kupeana darasa la namna ya kuishi na familia zetu hususan waume zetu ambao tulikubali kwa ihari yetu kuungana nao na kuwa mwili mmoja. Hata hivyo, kabla sijasonga mbele kuhusu nilichopanga kuzungumza nawe, niwasisitize mpatapo nafasi msiache kwenda kuhudhuria kwenye mikutano ya kampeni katika kipindi hiki cha lala salama kusikiliza sera za...

 

5 years ago

Michuzi

Usomaji kwa njia ya kidijitali : Vodacom Instant Schools njia sahihi ya elimu kwa vitendo

Usomaji kwa mfumo wa kidijitali haimaanishi kupitia simu yako ya mkononi, kishikwambi au kompyuta. Ina maana ya kujenga uwezo wa kujifunza kwa kuwaunganisha walimu au wanafunzi popote walipo. Ni njia sahihi ya kujifunza inayoleta maana halisi.

Wazo la usomaji kwa njia ya kidijitali linalenga kuongeza ufanisi na kuboresha mazingira ya usomaji kwa wahusika kutumia nyenzo za kisasa. Lengo siyo kuachana na mfumo wa mafunzo ya darasani bali kuuboresha kwa kuzingatia matumizi ya teknolojia.

Kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasiopenda kujifunza kwa njia rahisi, watajifunza kwa njia ngumu

NIMEMSIKIA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akisema kuwa katiba mpya haileti maendeleo hata ikija. Msingi wa hoja yake ni kuwa katiba mpya siyo mtatuzi wa matatizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani