Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usomaji kwa njia ya kidijitali : Vodacom Instant Schools njia sahihi ya elimu kwa vitendo

Usomaji kwa mfumo wa kidijitali haimaanishi kupitia simu yako ya mkononi, kishikwambi au kompyuta. Ina maana ya kujenga uwezo wa kujifunza kwa kuwaunganisha walimu au wanafunzi popote walipo. Ni njia sahihi ya kujifunza inayoleta maana halisi.

Wazo la usomaji kwa njia ya kidijitali linalenga kuongeza ufanisi na kuboresha mazingira ya usomaji kwa wahusika kutumia nyenzo za kisasa. Lengo siyo kuachana na mfumo wa mafunzo ya darasani bali kuuboresha kwa kuzingatia matumizi ya teknolojia.

Kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Benki ya NMB, Mastercard na EYWA washirikiana kuleta mfumo wa malipo kwa njia ya kidijitali kwa wasafiri Tanzania

Benki ya NMB kwa kushirikiana na Mastercard na kampuni ya utoaji huduma za usafiri - EYWA, wamezindua mfumo mpya wa malipo kwa njia ya kidijitali kwa wasafiri nchini Tanzania. Mfumo huo unaojulikana kama ‘EYWA Transit Solution’, utawawezesha wasafiri kukata tiketi kwa njia ya kidijitali kupitia simu za mkononi na kadi maalumu. 

Suluhisho hili linalenga kutatua changamoto za huduma za usafirishaji nchini kwa kupunguza matumizi ya mfumo wa malipo ya fedha taslimu na kuwa katika njia ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasiopenda kujifunza kwa njia rahisi, watajifunza kwa njia ngumu

NIMEMSIKIA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akisema kuwa katiba mpya haileti maendeleo hata ikija. Msingi wa hoja yake ni kuwa katiba mpya siyo mtatuzi wa matatizo...

 

11 years ago

Michuzi

Nipashe, The Guardian yashirikiana na Vodacom kutoa taarifa kwa njia ya simu ya mkononi

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na uzinduzi wa huduma mpya itakayokuwa inatumiwa na wateja wanaotumia mtandao wa simu za mkononi wa vodacom kupata habari za punde (Breaking News)za kitaifa na kimataifa kupitia magazeti ya Nipashe na The Guardian, mahali popote na muda wowote. Ili kujiunga mteja anatakiawa kuandika neno Nipashe au The Guardian kwenda namba 15501. Kushoto ni...

 

5 years ago

Michuzi

Pesa kidijitali: Njia nyingine kusaidia mapambano dhidi ya maambukizi ya coronavirus

Toka kuingia kwa virusi vya coronavirus nchini njia mbalimbali zimechukuliwa na zinaendelea kuchukuliwa kuzuia kasi ya maambukizi.Taasisi za elimu zimefungwa, hoteli mbalimbali, mikusanyiko imezuiwa na kupungua kwa mfano Mapinduzi Day, na njia nyingi za kuelimisha umma zinafanyika kuhakikisha tunabaki salama. 
Juhudi pia zinafanyika kuhamasisha kuhusu matumizi ya fedha kijitali (kulipa, kutuma na kupokea pesa kwa njia ya simu). Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO),  njia hii ya kutuma,...

 

11 years ago

Michuzi

elimu kwa umma juu ya njia bora za kuhudumia majokofu na viyoyozi ili kulinda tabaka la Ozoni.

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Angelina Madete akitoa hotuba ya ufunguzi wa warsha ya Mafunzo ya wakufunzi kutoka Vyuo vya Ufundi Nchini katika Hotel ya Blue Pearl jijini Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Angelina Madete (Katikati) na Mkurugenzi wa mazingira Dkt. Julius Ningu (Kulia) wakimsilikiza Bw. Julio Esterban Mshauri Mwelekezi kutoka UNIDO akitoa ufananuzi kwa wakufunzi kutoka Vyuo vya ufundi nchini.  Sehemu ya washiriki wa warsha...

 

5 years ago

Michuzi

WANAHABARI WAPATIWA ELIMU YA UELEWA WA CHANJO YA SARATANI YA HPV PAMOJA NA CHANJO NYINGINE KWA NJIA YA MTANDAO

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto kupitia Mpango wa Taifa  Chanjo wameendesha semina maalumu kwa njia ya mtandao  kwa Waandishi wa Habari  zaidi ya 50 nchini.
Semina hiyo ya  siku moja ya uelewa wa Chanjo ya kukinga ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi (HPV Vaccine) ambayo hutolewa bila malipo kwa wasichana wa miaka 14 hapa nchini iliendeshwa mubashara kupitia mtandao wa ZOOM.
Awali akiwasilisha mada maalumu ya chanjo hiyo ya HPV, Afisa Mradi, Mpango wa Taifa wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Azam FC: Ni wakati wa kuamua ipi njia sahihi

Hakuna aliyewahi kuwaza kuwa ingetokea timu ambayo kwa misimu minne mfululizo ingezitenganisha Yanga na Simba katika nafasi mbili za juu.

 

11 years ago

Mwananchi

Laparoscopic Surgery: Upasuaji kwa njia ya darubini; mkombozi kwa wagonjwa

>Ukuaji wa teknolojia ni moja katika viashiria vya maendeleo katika jamii yoyote ile ikiwamo Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani