Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ATC yalipisha kwa dola

KINYUME na agizo la Serikali la kutaka taasisi zake zisitoze malipo kwa dola ila kulinda thamani ya shilingi yake, Shirika la Ndege Tanzania (ATC), limekiuka kwa kuwalipisha kwa dola wapangaji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KALIST ASEMA CCM HAITATUMIA DOLA KUTAKA MADARAKA BALI DOLA KWA NI KUTUMIA KWA KUTUMIKIA WANANCHI


Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro akiongea na vyombo vya habari leo leo jijini Arusha


Na Ahmed Mahmoud Arusha

CHAMAcha Mapinduzi,CCM, hakitatumia dola kubakia madarakani bali kitaitumia dola katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo na kuboresha huduma za jamii.

Hayo yameelezwa leo jijini Arusha kwenye ukumbi wa Hotel ya Arusha Palace, na aliyekuwa Meya wa Jijiji la Arusha,Kalisti Lazaro,alipokuwa akitolea ufafanuzi kauli ya...

 

9 years ago

Bongo5

Chris Brown kuchangia dola 1 kwa kila nakala ya album yake ‘royalty’ kwa watoto

breezy-smile

Ikiwa zimebaki wiki mbili kuachia album yake mpya, Chris Brown amesema kuwa atachangia kwenye mfuko wa watoto kiasi cha dola moja kutoka kwenye mauzo ya kila nakala ya album yake, ikiwa ni sehemu ya kurudisha kwa jamii mwisho huu wa mwaka.

breezy-smile

Kupitia mitandao ya kijamii Breezy aliandika,

“The holidays are all about giving back, so this Christmas, from now until Christmas, if you order the album, pre-order the album, one dollar of every album sold will go to Childrens Miracle Network...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHAMASISHA MCHANGO WA DOLA BILIONI 7.5 KWA AJILI YA CHANJO YA WATOTO KWA NCHI MASIKINI DUNIANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika hatua mbalimbali za mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika hatua mbalimbali za mkutano wa kimataifa...

 

10 years ago

Vijimambo

ABIRIA MIAMOJA WAKWAMA ATC

Zaidi ya abiria mia moja wa ndege ya ATC wamekwama nchini Tanzania, baada ya safari zao kuarishwa. Wengi wao wakielekea nchini Comoros na wengine wakiwa katika safari za ndani, kuelekea Mtwara na Kigoma wamekwama kwa siku mbili mjini Dar es salaam.
Abiria hao imebidi wakodiwe hoteli ilivyo ada wakisubiri muafaka wa namna watakavyosafiri kuelekea Comoro. Sharifu Hashim, Balozi wa heshima wa Comoro huko Chicago nchini Marekani, anasema mambo yake mengi yamekwama kutokana na tukio hili na...

 

11 years ago

Michuzi

ATC kung’ara angani

SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATC) lipo karibu kuanza kung’ara hewani baada ya mwekezaji kutoka Oman kuwa tayari kuwekeza kwenye shirika hilo na sasa anasubiri serikali kukamilisha taratibu zake. Miongoni mwa taratibu zinazosubiriwa ni kwa serikali kulipa madeni makubwa ambayo ATC ilikuwa inadaiwa ili kuweka mizania sawa ya vitabu vya hesabu za fedha.
Mwenyekiti na Rais wa Kampuni za Al Hayat Development and Investment LLC ya Oman, Sheikh Salim Bin Abdullah Al Harthy, alisema...

 

10 years ago

Vijimambo

LAST CALL FOR ATC BOARD MEMBERS


Application deadline is July 18,2015

Association of Tanzania Community ( ATC) is a non-political organization under the District of Columbia “Nonprofit Corporation ACT” (D.C Code, 1981 edition, Title 29,Chapter 5.) We are pleased to announce our members of the upcoming positions which need immediate filling.
Board of  Directors; 5 Openings‘Board of Directors  shall be charged with the management of the association affairs for a (3) years term’.Board of Directors shall make policy decisions and...

 

10 years ago

BBCSwahili

Abiria miamoja wakwama:ATC

Zaidi ya abiria mia moja wa ndege ya ATC wamekwama nchini Tanzania, baada ya safari zao kuarishwa.

 

10 years ago

Michuzi

ACACIA KUKUSANYA DOLA 200,000 KWA AJILI YA UFADHILI WA ELIMU KWA WATOTO MASKINI, NI KUPITIA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

 KAMPUNI ya ACACIA inayojishughulisha na uchimbaji na utafutaji madini, imezindua kampeni ya kukusanya fedha kupitia kupanda mlima Kilimanjaro, leo Jumatatu Juni 22, 2015, ambapo fedha hizo zitakwenda kusaidia sekta ya elimu kwenye maeneo yanayozunguka migodi mitatu inayomilikiwa na kampouni hiyo ya North Mara, Bulyanhulu na Buzwagi.

Akizungumza muda mfupi kabla ya kuanza kwa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwenye lango la Machame,iliyo shirikisha watu 21, Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni...

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAGUZI MDOGO WA BODI ATC-Metro DC



JUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAPENDA KUWAJULISHA WANAJUMUIYA WAKE KUWA, UCHAGUZI WA WAJUMBE WA BODI UTAFANYIKA RASMI TAREHE 01/08/2015.TAFADHALI TUMA MAOMBI   KABLA YA TAREHE 18/7/2015
Kwa Maelezo zaidi Wasiliana na Vice PresidentHarriet Shangarai-Tel  #240 672 1788Executive Secretary,Saidi Mwamende Tel. # 301-996-4029Assistant TreasureGerald Mude- Tel # 202-644-1829Email  - uongoziatc2015@gmail.com
TUNATANGULIZA SHUKRANIATC-Metro DC

UWEPO WAKO NI UWEPO WA FIKRA ZAKO !

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani