UCHAGUZI MDOGO WA BODI ATC-Metro DC
JUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAPENDA KUWAJULISHA WANAJUMUIYA WAKE KUWA, UCHAGUZI WA WAJUMBE WA BODI UTAFANYIKA RASMI TAREHE 01/08/2015.TAFADHALI TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 18/7/2015
Kwa Maelezo zaidi Wasiliana na Vice PresidentHarriet Shangarai-Tel #240 672 1788Executive Secretary,Saidi Mwamende Tel. # 301-996-4029Assistant TreasureGerald Mude- Tel # 202-644-1829Email - uongoziatc2015@gmail.com
TUNATANGULIZA SHUKRANIATC-Metro DC
UWEPO WAKO NI UWEPO WA FIKRA ZAKO !
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
BREAKING NEWS: THE CASE # 398424-V: ATC METRO DMV vs Sandaly, Nyang'anyi, et al, is due for trial
From Court room number 8A, 8th floor, Montgomery County, Rockville, Maryland. The motion filed by defendants to dismiss the election fraud case has been denied. The case is firm and intact/well and alive; will go for trial. Stay connected for more information


THE ELECTION...
11 years ago
Michuzi13 Aug
TEAM LIBE FOR DMV COMMUNITY PRESIDENT 2014 HAITAMBUI UONGOZI MPYA WA ATC METRO 2014
“Team Libe for DMV Community President 2014” haitatoa ushirikiano wowote na uongozi wa Jumuia ya Association of Tanzania Community in DMV. Pia tunawaasa wale wapenzi wetu kuto kutoa ushirikiano wowote na...
11 years ago
MichuziTume ya Uchaguzi yavitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kuwatumia mawakala kutoka ndani ya jimbo hilo
Akizungumza katika mkutano baina ya vyama vya siasa na tume hiyo,Mwenyekiti wa Tume hiyo,Jaji mstaafu Damiani Lubuva amesema kuwa pamoja na kuwa sheria haikatazi kwa vyama kuteua mawakala wa vyama kutoka majimbo mengine ya...
11 years ago
Habarileo11 Feb
Uchaguzi mdogo janga Chadema
MATOKEO ya uchaguzi mdogo uliofanyika nchi nzima katika kata 27, zilizopo ndani ya mikoa 15 na kuipa CCM ushindi yamerejesha kilio katika uongozi wa Chadema.
11 years ago
Habarileo16 Jan
Hekaheka uchaguzi mdogo Kiembesamaki zaanza
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeanza kutoa fomu kwa ajili ya wagombea wa uchaguzi mdogo wa jimbo la Kiembesamaki, utakaofanyika Februari 2, mwaka huu.
11 years ago
GPL
UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI WAANZA NCHINI
11 years ago
BBCSwahili17 Mar
CCM yashinda uchaguzi mdogo wa ubunge
11 years ago
Habarileo09 Feb
Waonywa mamluki siku ya uchaguzi mdogo
VYAMA vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mdogo katika kata ya Malindo wilayani hapa vimeonywa kutopeleka mamluki katika kata hiyo siku ya uchaguzi unaofanyika leo.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Mapanga yaanza uchaguzi mdogo Arusha
UCHAGUZI mdogo wa udiwani Kata ya Sombetini umeanza kwa vurugu baada ya wanachama watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kujeruhiwa na kundi la vijana walinzi wa Chama Cha...