Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waonywa mamluki siku ya uchaguzi mdogo

VYAMA vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mdogo katika kata ya Malindo wilayani hapa vimeonywa kutopeleka mamluki katika kata hiyo siku ya uchaguzi unaofanyika leo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Tume ya Uchaguzi yavitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kuwatumia mawakala kutoka ndani ya jimbo hilo

TUME ya Taifa ya uchaguzi imevitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kuhakikisha kuwa wanawatumia mawakala wanaotoka katika maeneo au vituo husika vya kupigia kura,ambao watawafahamua na kuwatambua wapiga kura wa eneo husika. 
Akizungumza katika mkutano baina ya vyama vya siasa na tume hiyo,Mwenyekiti wa Tume hiyo,Jaji mstaafu Damiani Lubuva amesema kuwa pamoja na kuwa sheria haikatazi kwa vyama kuteua mawakala wa vyama kutoka majimbo mengine ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

11 years ago

Habarileo

Uchaguzi mdogo janga Chadema

Dk Kitila MkumboMATOKEO ya uchaguzi mdogo uliofanyika nchi nzima katika kata 27, zilizopo ndani ya mikoa 15 na kuipa CCM ushindi yamerejesha kilio katika uongozi wa Chadema.

 

11 years ago

GPL

UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI WAANZA NCHINI

Zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi Mdogo wa Madiwani kujaza viti vilivyo wazi kwenye kata 26 zilizoko katika halmashauri 23 umeanza katika vituo mbalimbali nchini!

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAGUZI MDOGO WA BODI ATC-Metro DC



JUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAPENDA KUWAJULISHA WANAJUMUIYA WAKE KUWA, UCHAGUZI WA WAJUMBE WA BODI UTAFANYIKA RASMI TAREHE 01/08/2015.TAFADHALI TUMA MAOMBI   KABLA YA TAREHE 18/7/2015
Kwa Maelezo zaidi Wasiliana na Vice PresidentHarriet Shangarai-Tel  #240 672 1788Executive Secretary,Saidi Mwamende Tel. # 301-996-4029Assistant TreasureGerald Mude- Tel # 202-644-1829Email  - uongoziatc2015@gmail.com
TUNATANGULIZA SHUKRANIATC-Metro DC

UWEPO WAKO NI UWEPO WA FIKRA ZAKO !

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mapanga yaanza uchaguzi mdogo Arusha

UCHAGUZI mdogo wa udiwani Kata ya Sombetini umeanza kwa vurugu baada ya wanachama watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kujeruhiwa na kundi la vijana walinzi wa Chama Cha...

 

11 years ago

GPL

UPDATES: MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI

Mpaka sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshinda kata tatu ambazo ni: Kata ya Sombetini Arusha, Kata ya Njombe Mjini, Kata ya Kiborloni Mkoani Kilimanjaro.

 

10 years ago

Habarileo

‘Mwitikio wa kujiandikisha uchaguzi wa mitaa ni mdogo’

JUKWAA la Kupigania Sera (Policy Forum) limesema licha ya kubakia siku mbili za kujiandikisha kwa ajili ya kupiga kura za uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 14, mwaka huu, bado mwitikio wa wananchi kujiandikisha ni mdogo, kwani waliojitokeza ni wachache.

 

11 years ago

BBCSwahili

CCM yashinda uchaguzi mdogo wa ubunge

Chama cha Mapinduzi nchini Tanzania kimenyakua asilimia 79.4 ya kura zilizopigwa katika Jimbo la Kalenga

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani