Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ATCL WASHIRIKI KONGAMANO LA KIBIASHARA INDIA WAJIVUNIA UBORA WA NDEGE ZAKE

 Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Baraka Luvanda akihutubia katika kongamano hilo la biashara la uwekezaji Jijini Mumbai ,India hivi karibuni.
Katibu Mtendaji mkuu wa Wafanyabiashara na Viwanda wa Indo-Afrika  Bi. Sunanda Rajendran  akizungumza katika kongamano hilo
 Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) Patrick Ndekana akizungumza katika kongamano hilo la biashara la uwekezaji Jijini Mumbai, India hivi karibuni.



 
Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Baraka Luvanda akiwa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

ATCL yapata ndege mpya

SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limepata ndege nyingine aina ya CRJ-200 ya nchini Canada yenye uwezo wa kubeba abiria 50, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wake wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndege ‘mpya’ ATCL majanga

SIKU chache baada ya Shirika la Ndege Air Tanzania (ATCL), kujinadi kwamba limenunua ndege mpya aina ya CRJ 200, imebainika kwamba ndege hiyo ni chakavu na ni mzigo kwa taifa...

 

9 years ago

Michuzi

ATCL yarejesha safari zake kuelekea Mwanza.


 Abiria wakipanda kwenye ndege ya Shirika la Ndege la Taifa, Air Tanzania (ATCL) aina ya CRJ-200 tayari kuelekea Mwanza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Jumamosi jioni baada ya shirika hilo kurejesha safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza baada ya kusimamisha safari hizo tangu mwezi Agosti mwaka jana. Shirika hilo litafanya safari zake kati ya majiji hayo mawili mara mbili kwa siku katika siku zote saba za wiki. Abiria wakishuka toka kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

ATCL yaongeza safari zake visiwa vya Comoro.

  Abiria wakishuka kwenye  Ndege ya Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) aina ya CRJ 100. Picha ya Maktaba
SHIRIKA la ndege la taifa (ATCL) limetangaza  uamuzi wake wa kuongeza idadi ya safari zake kuelekea visiwa vya Comoro hatua inayolenga kuendana  na ongezeko la mahitaji ya huduma za shirika hilo hususani katika kuelekea kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Kwa sasa shirika hilo linatoa huduma zake kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Kigoma na Mtwara kila siku. Sambamba na kutoa huduma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Owenya: ATCL kuwa na ndege moja aibu

MBUNGE wa Viti Maalumu, Lucy Owenya (CHADEMA), amesema ni aibu kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), kuwa na ndege moja wakati ilikuwa na ndege saba na ina rasilimali ambazo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndege ATCL yarejesha imani kwa abiria

SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limeweka rekodi ya ongezeko la abiria kwa asilimia 57 wiki chake baada ya kupokea  ndege ya kukodi yenye uwezo wa kubeba abiria 50 aina...

 

11 years ago

Mwananchi

ATCL, Uwanja wa Ndege Mwanza vilivyotishia bajeti ya uchukuzi

Matatizo yanayolikabili Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na kususuasua kwa ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa Mwanza, ni miongoni mwa mambo yaliyotishia kukwamisha makadirio ya matumizi ya Wizara ya Uchukuzi, bungeni juzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wacheza dili wa ndege ‘mpya’ ATCL hawa hapa

VIGOGO wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), waliofanya dili la kukodisha ndege chakavu aina ya CRJ 200 na kutangaza kwamba wameinunua, wamebainika. Vigogo hao wamebainika katika mwendelezo wa uchunguzi uliofanywa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani