ATM YA NBC YAZINDULIWA

Meneja wa ATM na Kadi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Wambura John (kushoto) akiweka pesa kwa kutumia ATM katika hafla ya uzinduzi wa huduma ya kuweka pesa (deposit) kwa kutumia mashine za ATM ya benki ya NBC jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni mteja wa benki hiyo, Francis Xavier na kulia ni Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter
Mteja wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Francis Xavier (kushoto) akiweka pesa (deposit) katika mashine ya ATM ya benki hiyo wakati wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
NBC yazindua mashine za ATM za kupokea pesa
.jpg)
.jpg)
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Maji ya ATM yazinduliwa nchini Kenya
5 years ago
Michuzi
WATEJA WA NBC WAENDELEA KUIBUKA KIDEDEA KUPITIA AKAUNTI YA NBC MALENGO


5 years ago
Michuzi
WATEJA WA NBC WAENDELEA KUIBUKA KIDEDEA KUPITIA NBC MALENGO

11 years ago
MichuziBENKI YA NBC YAZINDUA HUDUMA MPYA YA NBC DIRECT
11 years ago
BBCSwahili07 Oct
Mtambo wa kwanza wa ATM Mogadishu
11 years ago
Ykileo
“TYUPKIN” YATIKISA MASHINE ZA ATM

Video inayo onyesha kilichotokea kwenye Mashine...
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Saba wahukumiwa wizi ATM