AU yateka ngome ya mwisho ya Al shaabab
Baada ya vita vikali vikosi vya muungano wa Afrika vilivyoko Somalia vikishirikiana na vile vya serikali vimeuteka mji uliokua ngome ya mwisho ya Alshaabab wa Baardheere
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
filamu ya "I SHOT BI KIDUDE" ya mwisho itakayoonyeshwa tamasha la ZIFF usiku wa Jumapili Julai 26 Saa 1:15 NGOME KONGWE, ZANZIBAR

10 years ago
BBCSwahili17 May
Nkurunziza aonya kuhusu Al Shaabab
10 years ago
BBCSwahili27 Jun
Kenyatta: al Shaabab yaishiwa nguvu
10 years ago
BBCSwahili25 Oct
Majeshi ya Kenya yawaua Al Shaabab 15
10 years ago
CloudsFM02 Apr
A-Shaabab yavamia tena Kenya
Kundi la Alshabaab wamefanya mashambulizi katika chuo kikuu cha Garissa kasikazini mwa Kenya karibu na mpaka wa Somalia na maafisa usalama wa Kenya wamethibitisha kuwa watu wawili wamefariki Dunia na wanne kujeruhiwa katika mashambulizi hayo na wakazi wa eneo hilo wametakiwa kuaa mbali na eneo hilo
10 years ago
TheCitizen26 Aug
‘Tanzanian’ al-Shaabab suspects seized in Kenya
10 years ago
GPL
AL SHAABAB YAVAMIA VIJIJI VITATU GARISSA, KENYA
10 years ago
Mtanzania27 May
Yanga yateka usajili
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
TIMU ya Yanga imeendelea kuteka soko la usajili nchini, baada ya jana mchana kuwanasa wachezaji wawili kwa mpigo, beki wa kushoto Mwinyi Haji Mngwali na kipa wa Kagera Sugar, Benedicto Tinocco.
Usajili wa wachezaji hao unaifanya timu hiyo kufikisha idadi ya wachezaji watatu iliyowasajili mpaka sasa baada ya Jumapili iliyopita kumsainisha winga Deus Kaseke aliyetoka Mbeya City.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga, Jerry Muro, alilithibitishia...