AU:Anti Balaka ni kundi la maadui
Mkuu wa vikosi vya Afrika vya kulinda amani CAR,amesema kuwa vijana wapiganaji wa kikristo wanaojulikana kama anti-balaka,watatambulika kama maadui kutoka sasa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen21 Feb
FEATURE: Who are the anti-balaka in scarred CAR?
11 years ago
BBCSwahili24 Jul
Anti-Balaka,Seleka kusitisha mapigano?
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Wajumbe Kundi la 201 watoa tamko dhidi ya wanaolichafua Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kundi hilo
Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
WAWAKILISHI wa Taasisi za dini wa Bunge Maalum la Katiba toka wajumbe 201 wametoa tamko lao dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazoendelea katika kulichafua Bunge hilo ikiwemo baadhi ya wajumbe wa kundi hilo wakituhumiwa kudaiwa kupewa rushwa.
Tamko hilo limetolewa jana 03 Septemba,...
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Taifa limekumbatia maadui watatu
WIKI iliyopita taifa lilikumbwa na msiba mwingine. Watu zaidi ya sita wamefariki dunia na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa vibaya baada ya lori la mafuta kupinduka katika eneo la Mbagala...
10 years ago
Mwananchi05 Jun
Ngeleja: Nitapambana na maadui sita
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Jide: Maadui zangu wamebadilisha wimbo
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
‘Maadui’ hatari kwa afya ya binadamu
UJUZI wa kitabibu na teknolojia ya afya ya mwanadamu vinaendelea kukua. Licha ya maendeleo hayo, magonjwa ya kuambukiza yanaendelea kuikumba dunia na kuwatesa wanadamu. Serikali nyingi duniani zinaelemewa na gharama...
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Urusi yashambulia maadui wa Assad Syria
10 years ago
Mtanzania13 Sep
Jukata: Sitta, Werema maadui wa Katiba
![Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Deus-Kibamba.jpg)
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba
Na Michael Sarungi, Dar es Salaam
JUKWAA la Katiba Tanzania (Jukata) limesema Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema ni maadui waliosababisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya kuharibika.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Jukata, Deus Kibamba, alisema viongozi hao kwa nyakati tofauti kwa kutumia nyadhifa zao wameshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo...