Audio: DJ na producer maarufu Romania aifanyia remix ya house ‘Dunia Njia’ ya Bushoke
Muziki ni lugha ya dunia. Ndio maana bila kufahamu alichoimba Bushoke kwenye wimbo wake ‘Dunia Njia’, DJ na producer maarufu wa Romania, Andeeno Damassy ameifanyia remix ngoma hiyo na kuiweka katika mfumo uliochongamka zaidi.
Bushoke na DJ huyo hawafahamiani. Akiongea na Clouds TV kwenye kipindi cha Siz Kitaa, Bushoke alidai kuwa yeye mwenyewe aliigundia remix hiyo alipoangalia Youtube kuangalia views za remix nyingine iliyowahi kufanya na mtu mwingine na kuigundia hii.
Andeeno...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/o2YfjSxCLe0/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Mar
AUDIO: Sofia Remix By Peter Msechu-Original Song By Ben Paul
9 years ago
Bongo521 Nov
Music: Andeeno Damassy f/ Bushoke & Jimmy Dub – Dunia Njia (Club Edit)
![11107721_827829687298247_355214833557612732_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11107721_827829687298247_355214833557612732_n-300x194.jpg)
Download au sikiliza remix ya wimbo wa kitambo wa Bushoke, Dunia Njia iliyofanywa na DJ wa Romania, Andeeno Damassy.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
Bongo505 Aug
Lil Kim atoa version yake ya ‘Flawless Remix’ na kumdiss Nicki Minaj aliyeshirikishwa na Beyonce (Audio)
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80949000/jpg/_80949753_8x9a2932.jpg)
AUDIO: Mixing God with house music in Botswana
9 years ago
BBCSwahili18 Nov
Lomu, mcheza Rugby maarufu aaga dunia
11 years ago
Habarileo08 May
Kada maarufu Chadema Iringa afariki dunia
ALIYEKUWA akiandaliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Iringa Mjini, Gervas Kalolo (52) alitarajiwa kuzikwa jana katika makaburi ya Mtwivilla mjini Iringa. Kalolo alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumanne jijini Dar es Salaam, alikokuwa ameenda kwa shughuli zake binafsi.
10 years ago
Bongo Movies13 Nov
Breaking News: Msanii maarufu wa Hip Hop nchini Geez Mabovu afariki dunia
Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba rapper Geez Mabovu ambae ni maarufu kwenye muziki wa hiphop Tanzania, amefariki dunia kwenye hospitali aliyokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita kutokea Dar es salaam.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, Geez amefariki jioni hii. Alienda kwao wiki moja na nusu iliyopita ambako alianza kuugua mfululizo mpaka mauti yalipomkuta.
Geez atazikwa kesho (Leo) jioni November 13 2014.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7ZrxKHDDh9E/XnZiMeRW5KI/AAAAAAALkqg/0yhByVpa9FUJp3pSlr5HHeMNTmv3kXB-ACLcBGAsYHQ/s72-c/_111379616_gettyimages-544028466.jpg)
Mwanamuziki maarufu wa muziki wa Country Kenny Rogers afariki dunia akiwa na umri wa miaka 81
![](https://1.bp.blogspot.com/-7ZrxKHDDh9E/XnZiMeRW5KI/AAAAAAALkqg/0yhByVpa9FUJp3pSlr5HHeMNTmv3kXB-ACLcBGAsYHQ/s640/_111379616_gettyimages-544028466.jpg)
Mwakilishi wa familia yake amesema kuwa "amekufa kwa amani nyumbani kwa kifo cha kawaida".
Rogers alikua juu katika chati ya wanamuziki wa pop na country katika miaka ya 1970 na 1980 ,na alishinda tuzo tatu za -Grammy.
Akifahamika kwa sauti yake ya kipekee na yenye mvuto hasa katika nyimbo zake -The Gambler, Lucille na Coward Of The County, kazi yake ya muziki ilivuma kwa zaidi ya miongo...