AUDO TRACK: BAUCHA - CHAMPODODO
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi31 May
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-axzFHv_fkN8/U3pUtsPJSvI/AAAAAAAFju4/kIo1eWqppDc/s72-c/e156cddcd47bacd807935f04f3da12ee.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Ed3BocYSj1c/U4Ny2eUt_sI/AAAAAAAFlLk/zFi0nd8MugM/s72-c/unnamed+(49).jpg)
11 years ago
Michuzi29 Jun
11 years ago
GPL13 May
11 years ago
GPLKUTANA NA BAUCHA WA VIPAJI!
Prodyuza Ally Mohamed Baucha,akiwa kwenye ofisi za Global Publishers ANAJULIKANA kama Baucha, lakini jina alilopewa na wazazi wake ni Ally Mohamed Baucha, prodyuza aliyepitia mambo mengi katika kusaka maisha kupitia sanaa ya muziki.Mwanzoni alikuwa densa, baadaye akafungua studio inayojulikana kama Baucha Records akijishughulisha na kazi ya kurekodi muziki huku naye akiimba. Prodyuza Ally Mohamed Baucha,akiwa kwenye… ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JKksqYJJ9Yj1XnxpEkjy1NvvWeIzHI7t0pVfFfGp84JkG4zGMrXXgVodBY*Yl9QeLGQ*bliseVazPmHK*mvEgKysg5CH2pnR/BAUCHA.jpg?width=650)
11 years ago
GPLPRODYUZA BAUCHA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE
Prodyuza mkongwe nchini, Ally Baucha akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani). Mkongwe huyo ndiye aliyezalisha ngoma kali kama Neila, Fid Q. Com na Usiulize wa Rado. ...Akipiga picha na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Amrani Kaima.…
9 years ago
Bongo506 Oct
Baucha kuanzisha ‘mobile studio’ kurekodi na wasanii wa mikoani
Producer na msanii Baucha amesema amedhamiria kuanzisha mobile studio ili kuweka unafuu na urahisi wa ufanyaji kazi kwa wasanii wa mikoani na wilayani ambao walikuwa na ndoto ya kufanya wimbo/nyimbo kwenye studio kubwa Tanzania. Katika mahojiano aliyoyafanya na mtangazaji Ergon Elly wa Kitulo FM – Njombe, Baucha alisema wasanii wengi kutoka mikoani wanatamani kuja Dar […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania