Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTANA NA BAUCHA WA VIPAJI!

Prodyuza Ally Mohamed Baucha,akiwa kwenye ofisi za Global Publishers ANAJULIKANA kama Baucha, lakini jina alilopewa na wazazi wake ni Ally Mohamed Baucha, prodyuza aliyepitia mambo mengi katika kusaka maisha kupitia sanaa ya muziki.Mwanzoni alikuwa densa, baadaye akafungua studio inayojulikana kama Baucha Records akijishughulisha na kazi ya kurekodi muziki huku naye akiimba. Prodyuza Ally Mohamed Baucha,akiwa kwenye… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

PRODYUZA BAUCHA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Prodyuza mkongwe nchini, Ally Baucha akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani). Mkongwe huyo ndiye aliyezalisha ngoma kali kama Neila, Fid Q.  Com na Usiulize wa Rado. ...Akipiga picha na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Amrani Kaima.…

 

9 years ago

Bongo5

Baucha kuanzisha ‘mobile studio’ kurekodi na wasanii wa mikoani

Producer na msanii Baucha amesema amedhamiria kuanzisha mobile studio ili kuweka unafuu na urahisi wa ufanyaji kazi kwa wasanii wa mikoani na wilayani ambao walikuwa na ndoto ya kufanya wimbo/nyimbo kwenye studio kubwa Tanzania. Katika mahojiano aliyoyafanya na mtangazaji Ergon Elly wa Kitulo FM – Njombe, Baucha alisema wasanii wengi kutoka mikoani wanatamani kuja Dar […]

 

11 years ago

Michuzi

TIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA

Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya Uigizaji Tanzania ambapo shindano hili litaanzia katika Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza Kuanzia tarehe 5 April 2014 mahali ni Isamilo Lodge. Mdau Karimu Muhidin Michuzi na Baadhi ya vijana wa kazi katika timu ya kusaka vipaji wakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Mabasi yakiwa tayari kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani