AUNT: NASIKITISHWA NA BAADHI YA WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Mkali wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amevunja ukimya na kupinga vikali tetesi za ujauzito wake kuhusishwa na mmoja wa mawaziri wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibainisha kuwa jambo hilo linautesa moyo wake.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni jijini Dar, Aunt alifunguka kwamba, mbali na kumzushia juu ya ujauzito huo, kuwa mara ya kwanza watu asiowajua walieneza uvumi kuwa alikwenda nchini Marekani na mheshimiwa huyo lakini aliwapuuza kwa kuwa alikwenda kwa kazi yake ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziHOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 16 NA 17 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 29 NOVEMBA, 2014
Mheshimiwa Spika,1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.
Mheshimiwa Spika,2. Mkutano huu ulijumuisha kujadili kazi kubwa zifuatazo:
Kwanza: Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2015/2016;
Pili:Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 [The Tax Administration...
9 years ago
MichuziHOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015
Niko hapa leo kutimiza matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 91 Ibara ndogo ya kwanza inayonitaka kulihutubia na kulifungua rasmi Bunge hili. Naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afya njema, na kutuwezesha kuwepo hapa siku ya leo. Aidha nitumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu ambao, kwa namna na nafasi mbalimbali, walishiriki katika mchakato wa uchaguzi huu na kwa bahati mbaya walipoteza maisha yao kabla ya mchakato haujakamilika. Kwa...
9 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziMABALOZI WA TANZANIA NJE YA NCHI WATEMBELEA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Pichani ni Mabalozi wa Tanzania Nje ya Nchi Waliotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wa kwanza kushoto ni Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala.
10 years ago
MichuziJK ALIPOHUTUBIA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MJINI DODOMA
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Mh. Anne Makinda kutogembea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda akiongea na waandishi wa habari kuhusu tamko la kutogombea Uspika Msimu huu hawapo pichani katika mkutano wake uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
Waandishi wa habari wakifatilia kwa makini maelezo anayotoa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda hayupo pichani alipotoa tamko la kutogombea tena Uspika wa Bunge msimu huu.
Spika wa bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda...
10 years ago
Dewji Blog24 Nov
Wanachama wa SACCOS ya Katoro, Geita watembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya wanachama wa SACCOS ya Katoro , Geita waliotembelea Bunge mjini Dodoma Novemba 24, 2014 kwa mwaliko wa Mbunge wao, Lolesia Bukwimba. (Pichana Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa SACCOS ya Katoro, Geita waliotembelea Bunge mjini Dodoma kwa mwaliko wa Mbunge wao wa jimbo la Busanda Lolesia Bukwimba (wapili kushoto kwake) Novemba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri...
9 years ago
Dewji Blog17 Nov
JOB NGUGAI achaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Pichani ni Mh. job Ndugai akiwa katika bunge la awali la 10, ambapo alikuwa ni Kaimu Spika wa Bunge hilo. Leo Novemba 17, ameweza kunyakua kiti hicho na kuwa Spika wa Bunge la 11, baada ya kupata ushindi wa kula 254, dhidi ya mpinzani wake, kutoka UKAWA. (Picha ya maktba yetu).
[DODOMA-TANZANIA] Nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hatimaye imechukuliwa na Mh. Job Yustino Ndugai wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuchaguliwa kwa kura 254 sawa na asilimia 70% ya kura...