AUNTY LULU: ANAYESEMA NINA UKIMWI AJITOKEZE!
![](http://api.ning.com:80/files/Oi8IGTb-jSJlhm7yqnc6iVgGwvuFKdOPTQa8EDN4iJkR1jkTZ0i8cdcMOCnigJAuArKGZmWm14TFsglgZuioa0GHC9wkc8RP/1.jpg?width=650)
Aunty Lulu. \Gladness Mallya Makubwa! Kufuatia fununu kuwa mwanadada asiyeishiwa matukio mjini, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ana ngoma na amejiunga kwenye kikundi cha watu waishio na virusi vya Ukimwi, mwenyewe amefunguka kwamba kama mtu ana uhakika ajitokeze waende pamoja wakapime. Akizungumza na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita, Aunty Lulu alisema amekuwa akishutumiwa na watu kwamba ana ngoma jambo ambalo siyo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Nina virusi vya Ukimwi, akiri Charlie Sheen
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0YvVcZCTfMENVmKX0Aldso14kWaLdo8NuIWdt3wl0uzsrgPjd*HxtEkl6Lnk9ebrCQCie7In2s95EMlCNW5fJDoC/lulu.jpg?width=650)
AUNTY LULU KIPIGO CHAMTULIZA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tZHhhMhD8MCtjzthy82mut*Onc36FQOlq*Ppkpy6D68ppgDzaxAN*5HCRg*DcZ24sFYRrHPHbqX4pjfSWLYllZalvPW9SHXL/timthumb.php.jpg?width=650)
AUNTY LULU: MAKALIO YANANITESA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zLSzH-96bg89U94SSbTLnHr6fc1u*wuMoc0KoyVYn59KeDdMPTeHABAkgmBfx*f67W9kEKHoYlvSCDal6CddlqU7n5P2jcFw/lulu.jpg)
AUNTY LULU ALIA KUTENDWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SPs2IsiC3PK5dk0PN1DUUbERqne81EHmMc2hCgGnEuRZ57hrxwbdsGkaI-D-04ffhjR5lZ88fS40D3HoJB*8Euj-AHnKF0Y1/lulu.jpg?width=650)
AUNTY LULU ACHEZEA KICHAPO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6arjMUpHESU7X9gpp9wnNZImGDrFUbOEs-YJbomTzL5-PmallHqHurvKXsgvylXaw91GMvIU1xlnNfnKmnBURbF/gf.jpg?width=650)
AUNTY LULU: NIMEKAMATIKA KIMAPENZI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSX90SstcC7p39vVr0kH5Z6ZASJk9v*LvSTFPbVTI3efQqnwsNdkjfpNOPIRM7O*7TjiSJJFjOOHSWR5uE3rAt7r/FRONTJUMAMOSI70.gif?width=650)
AUNTY LULU ASIMULIA ALIVYOBAKWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzfsG8ArHAUlRWuVdSAnM6mCFMX6c0*IyPl91JGqZLuukPuKpaL7edfzNKC4sa5YuF-cgirSSQlgj*zNDq-kjmyc/wastaralulu.jpg)
AUNTY LULU AKUBALI YAISHE!
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Bondi, Aunty Lulu Wapashana
Mastaa wa Bongo Movies na watangazaji waliowahi kuwa wapenzi, Bondi Bin Suleiman na Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ hivi karibuni walipashana baada ya kila mmoja kumdhihaki mwenzake kuwa hana kazi anayofanya mjini.
Bondi alisema kitu kikubwa anachokifanya Aunty Lulu ni kubadilisha wanaume ndiyo sababu ya kushindwa kuendelea na kazi yake ya utangazaji na filamu, akiishia kudanganya kuwa yeye ni mjasiriamali.
Lakini Aunty Lulu naye alijibu tuhuma hizo akisema mwandani wake huyo wa zamani...